kuna mimi naishi mwenyew najisalimia, najiaga na naomba pamojaa 😢
2025-05-30 09:46:06
1
Elise Mukaz :
merci merci papa🙏🙏
2025-06-17 16:26:03
0
Nyar waganjo :
iyo namba 3😭😭🙌 chakula ikishawekwa kwenye hotpot kila mtu anakula kwa mda wake....nshasemwa weee na wageni wanaokuja lkn wap...
2025-05-28 15:48:43
3
Mummy@ :
Amen 🙏🙏🙏
2025-06-16 01:39:00
0
MVPツGㄩ匚匚Ĩ :
kwenye kitanda sasa apo😂😂😂😂
2025-05-30 12:36:08
1
Kiss🦀🗽🌍 :
Kabisa ilikuwa inahitajika familia tuishi hivo ila kuna mengi kwenye ma familia ayapo tena 😌
2025-06-01 17:41:54
0
Eternal madame :
guys naomba mnisaidie k2, je mfano kila baada ya miez 2 naingiza kipato cha mil1 na laki 6.half mm nikachukua laki 8 kwaajr ya matumiz yng ,nyumban kwetu na mungu...ikabakia laki 8 nikaweka kama aliba je ???... nitafika salama kwakila katk lengo lang au nafuja pesa kwa kutumia kikubwa tofaut ninacho kiingiza ?????
2025-05-30 14:43:27
0
Mrosso :
barikiwa ndg Kwa roho nzuri Kwa jamii
2025-06-17 04:46:35
0
AbuAli1 :
salute 🫡
2025-07-16 18:18:12
0
Edwin Paul :
mi nyumbani najiondokeaga tu huwaga siagi mtu
2025-07-11 19:40:22
0
nasibu Said :
hapo kwenye kutandika kitanda mtanisamehe tu kwa kweli nimejitahidi sana nimeshindwa😂😂😂
2025-05-29 14:07:22
5
paulrichardtrezyoh :
Hapo umetisha
2025-06-25 08:13:29
0
Rerambo :
kuna mm naishi mwenyewe hizi sheria nazitumia mwenyewe🤣🤣
2025-05-31 06:11:41
0
auntcecy :
Familia yangu sheria utoe ww c wenyew hatuaganag kaka
2025-05-31 09:48:41
0
Annie wa Savo🌹 :
number 2 jamani number2 hii inaumiza zaidi imagine hujaaga umefika mahali umepata shida hakuna mtu anajua wapi umeenda, ukikosa msaada huko utamlaumu nani??
2025-05-29 13:47:19
0
rukia abdallah mbokeleni :
💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯I Love You 💜💜💙💙💜💜💙💙
2025-05-30 21:28:01
1
decory2016 b :
Asante
2025-05-29 23:29:11
0
Loyce Ferdinand :
hiyo ya nne huwa napigana na watu sana
2025-05-30 12:55:14
0
user4556103216833 :
zamani chakula kwenye sinia mnalizunguuka. mama na wadada. baba na wa kaka