@manaratv__: @sultan_sheikh_sharifu anasema ukiona Mwanamke wako hakusumbui wala hakukeri basi jua hakupendi kwani moja ya Mwanamke anaekupenda basi ni kukusumbua na kukukera. Nini maoni yako kwenye hili? #ManaraTV #ManaraTVUpdates #ElimuDunia
nilikua nisave nieke status nimeskia hatuna akili nimekoma🤣
2025-05-29 09:55:04
364
BAADRU__ :
tunawo mueleewa uyu shekhe anajuwa sana tugonge like
2025-05-29 09:00:29
173
Bruno s Mjuti :
bro mm sipendi usumbufu, ata Mungu anasema ni heri ukae juu ya Dali kuliko kuishi na mwanamke mwenye kero au kelele, iyo ipo kwenye kitabu Cha methali, nahakuna mwanaume anaye penda kelo au kelele,
2025-07-29 04:49:31
0
shelly❤️🦋 :
@shelly❤️🦋:too much seriousness spoils marriage.....create time to be childish and also set time to act as a man ......you don't have to assume that you're always right as a man....know likes and dislikes of partner and you'll have a successful marriage
2025-05-29 10:30:28
52
Bedar Beidar :
Sheikh mimi hua naambiwa nina mdomo mrefu😂😂😂😂
2025-05-30 10:21:52
6
esha🥰 :
ukimsikiliza vizuri. utamuelewa. ukimsikiliza. kwa hasira hutoelewa. 😂😂😂😂
2025-05-29 09:23:18
12
Dorcas Muviri :
hatuna akili lakini tuna uelewa maanake nini? si kuelewe.
2025-05-29 08:02:45
2
@ishmyg🥰🥰 :
shida kwamba ukimsumbua au kumkera kera mwanaume anahama nyumba na kusema kwamba mke ana makelele
2025-05-29 14:43:58
5
sarahh :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣kweli kabiza
2025-07-11 11:03:00
0
Erieti :
kwaiyo adi mmamkwe akili anaa
2025-05-29 04:57:54
4
Dida_mamy :
kwaiyo ss hatuna akili au na wala hatuwendi uchi ata km hatuna akili😁
2025-05-29 05:33:12
6
Beliner🤍 :
Mwanamke huwezi kumuelewa tupo tofauti ndomaana hatuna kitabu cha kutuelezea 😁😁 endeleeni kuyaelezea mahusiano yenu yaliyopita kama mifano 😁😁
2025-05-29 13:26:54
5
M U.T.H..O..N..I🥰💕💕 :
alafu huyu wangu ananishw nabehave kama evil spirit 😅😅😅😅😅
2025-05-29 16:31:16
13
user6130119508543 :
jmn mm nilikua chiliku ila sasaiv ni mkimya kam nimepigwa sindano ya ganzi mdomon 🤣
2025-05-29 06:01:15
3
@Mo :
Eti wanawake hawana akili?
2025-05-29 08:29:17
30
Mrs.Stephen Motito :
Nilimkera but wapi,,all in vain,,nipo single wadau
2025-05-29 09:33:47
41
NURSE LEYLAH SAID :
hapo Kuna hapo hawan akili imenikera. I was to post but deleted
2025-05-30 06:37:15
4
Nicer :
khai! mko sure hatujatusiwa 😂😂😂😂😂😂
2025-06-01 16:27:19
3
🦋 little🌺 odo🦋 Gian 💞 :
niljua mim tu kumbe ndo kam genetic vile
2025-05-29 10:23:34
2
masterpiece :
Subiri domo likolee ajue ww ni wakunyea njo utaelewa habadiliki tena kuwa huru usimwigizie mwanamke mwonyeshe upoje basi ... Tabia zako na zake zisitofautiane sana
2025-05-29 04:35:59
2
marykitiku :
kumb me sina akiri ndio maan nilikuwa naferi dalasan😁😁😁
2025-05-29 09:24:51
9
Lovely Jasmine's :
itakuwaje hatuna akili bwana😂😂😂😂😂😂
2025-05-29 18:13:21
4
Fatma_Abdi12 :
ni kweli kabisa
2025-05-29 20:41:35
1
rose mzungu 😜😜 :
Siyo kweli
2025-05-29 06:21:55
2
ramla :
jaman hatuna akilli tena
2025-05-29 05:15:44
4
To see more videos from user @manaratv__, please go to the Tikwm
homepage.