@moonie696: #videoviral #foryoupage #fyp ama ni mimi nko zangu 😂😂

moon 🌝
moon 🌝
Open In TikTok:
Region: KE
Wednesday 28 May 2025 19:39:59 GMT
213170
11573
1317
2037

Music

Download

Comments

shikohthande
Shikoh Thande :
saa hizo mnangoja choma, yenye nusu already ishaibiwa kwa jiko and then kuna paka nono under your table imetumwa kumaliza hiyo nyama kidogo mmebakishiwa
2025-05-29 18:33:43
132
alboo_ke
Alboo001 :
Saa hizo mmekalia vitu mbili mbili za plastic, meza ni round na imevalishwa plastic cover ya tusker🤣🤣🤣🤣
2025-05-29 15:11:28
332
plaa850
plangat :
sijesavais🥰😅
2025-06-01 16:16:23
2
nyawira666
💙❤️NYAWIRA💜🤍 :
Hakuna watu wa Guinness huku yawa
2025-05-29 11:39:10
135
artkevo1
Kelvin :
umesahau keg
2025-05-29 12:52:34
4
djbrainson
DJ Brainson 🇰🇪 :
Mix inachezwa kwa flash hakuna DJ 😂😂
2025-05-30 11:39:21
51
jacksumba
Jack Sumba :
white cup moja warm moja baridi kando ya lake victoria. waiting for obambla with ugali😂😂😂
2025-05-29 11:26:47
66
spencer_wana
Mwambisi :
saa hizo io whitecap baridi inachemsha koo.....good feeling.supersport unawatch kama kiziwi...ju walimute ndio msikize rhumba
2025-05-29 21:40:48
15
To see more videos from user @moonie696, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About