@shukranimpomwa: #gwajima

SHUKRANI MPOMWA
SHUKRANI MPOMWA
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 28 May 2025 23:07:53 GMT
155457
6383
419
524

Music

Download

Comments

babroma2020
BABROMA :
GWAJIMA HAFAI KABISA KUWA KIONGOZI WA HATA JIMBO, HANA KIFUA NA HAMA UWEZO WA KUTUNZA SIRI ZA KAZI. SERIKALI IMCHUKULIE HATUA YEYE KAMA YEYE,
2025-05-29 09:13:34
6
userniyeyeclassic
ni yeye classic :
kama unamkubali gwajima gonga like
2025-05-30 18:11:06
78
mrtan3810
user60270769974 :
mjomba kifo kinakunyemelea wewe kaa kimya kaka watu hawataki kuambiwa ukweli mjomba
2025-06-01 12:36:02
0
thombariki
thombariki :
Hyo sauti "Nileteeni gwajima" ina hisia kali sana inanitoa Machozi 😔
2025-05-29 08:59:07
135
kingvictor31
Ra🌞∆-KING👑 VICTOR :
we love mama Samia mitano tena 🇹🇿 🇹🇿
2025-05-29 08:26:03
5
evarinelugema
Evarine Lugema :
hiyo ni sauti ya roho mtakatifu
2025-05-29 08:39:45
54
user602161618
user6224804886901 :
Gwajima ukirudi waambie Watanzania kuwa Samia ndiye mwenye kikosi cha kuteka watu na kuuwa. Gwajima yupo na jeshi,polisi na usalama.Samia alazimishwe kujiuzulu arudi kwao Kizimkazi
2025-05-29 13:56:59
7
emmanueldaudi8
emmanueldaudi902 :
gwajima tupambanie tumechoka na utekwaji ovyoo
2025-05-29 13:27:06
23
celestinmichel.02
CÉLESTIN MICHEL PONTIUS :
alipo alikwa kuja kwetu congo alikataa kisa alisema kama mimi nikenda Congo tatizo sita nyamaza. apa namwelewa uyu mtumishi wa Mungu kama Roo mtakatifu si kunyamaza ni kunena hata kwa luga
2025-06-03 08:11:28
0
mustafa.mwasile
Mustafa Mwasile :
Nan anateka watu ?
2025-05-29 16:30:12
3
.marryflowers
marryflowers💕💕 :
gwajima oyeee tupo pamoja na wewe ila ujiwekee ulinzi wa damu ya yesu yakija kukuteka yapofuke macho nazani kwahilo utakua umewaumiza
2025-05-29 09:25:30
12
tinnathomas2112
tinna thomas :
gwajima mitano tena
2025-05-29 12:06:19
15
fasihipina
fasihi pina :
Tuna appreciate neno na la Raisi wetu wa kweli wa Tz John p .Magu.
2025-05-29 12:49:28
28
user9422311939840
thomas butingo :
Hawa wasukuma walikua wanapeana vyeo
2025-05-29 11:15:28
1
1ashraf858
ASHRAF. :
GWAJIMA NDIYE CHAGUO LA UMMA 2025🔥🔥🔥..KIONGOZI JASIRI NA JASUSIII WA MAENDELEO.. 😇😇
2025-05-30 19:24:15
8
salma.mlewadini2
mlewa dini tz :
MUNGU AKUBARIKI GWAJI,NITAFUNGA SIKU MBILI NIKUOMBEE BABA.
2025-05-30 22:02:06
5
bakuza.godfrey2
Bakuza Godfrey :
Hiyo sauti ya Magufuli ndani yake ilibeba unabii unaokwenda kutimia
2025-05-29 03:51:56
37
rustah1
Rustah :
Jembe gwajima tunakupenda sanaaaaa
2025-05-29 08:23:05
6
thecityplumber
THE CITY PLUMBER KE :
gwajoma for presidency 💪💪💪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏
2025-05-30 18:21:38
6
zejuchaz
ZEJU :
Oya kwani Njuga ni kitu gani ..? 🤣
2025-05-30 05:44:59
5
88mhdconstruction
MHD Construction. :
nilikua sija mfatilia gwajim Lakin kumbe nijembe kama father magu👍msimsumbue achen aseme
2025-05-30 10:55:06
9
mchungaji.eliya.m
Mchungaji eliya Malelemba :
uwiiii akirudi atawataja wanaoteka mpaka watu waache kutekwa,
2025-05-29 07:35:18
22
madametrice
Madame Trice❤️ :
GWAJIMa MITANO TENA
2025-05-31 03:59:10
3
rehemahuki
@#Rehema Gordon :
Mungu amlinde amuepushie na hatariii zote,ana kitu huyu baba
2025-05-29 16:08:20
5
user8794926538468
morio 123 :
baba umetuachia gwajima
2025-05-30 09:39:10
3
To see more videos from user @shukranimpomwa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About