@dw_kiswahili: Viongozi hawa walikumbana na masaibu na mateso makali kutokana na misimamo yao ya kisiasa na hasa inayopingana na serikali zao. Nilikua kiongozi gani unamfahamu aliepitia haya waliyoyapitia hawa? #DWTunavuma #vumakwakishindo #DWAfricaTok #leadership #africa #politics #viralvideos

DW Kiswahili
DW Kiswahili
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 30 May 2025 08:43:37 GMT
41290
2148
93
43

Music

Download

Comments

director_ht
Halid Tolbert :
Namuelewa sana Mwandishi/Mtangazani, bado anaipenda kazi yake 🤩😂😎
2025-05-30 17:21:29
17
kevin_60idlib
Kevin_clif7 :
Lissu alipigwa chuma 17
2025-05-30 10:02:32
17
ombenu.james
ombenu James :
ujataja Raila odinga wa kenya
2025-06-02 08:35:45
0
gcommaterial07
Gcom :
unatumia kichwa kama mfuniko wa shingo Lisu alipigwa risasi 17 na kupewa kesi ya uhani auoni anasifa tosha ya kuna namba moja hapo ??
2025-05-30 11:12:59
3
wakusaminisha
wakusaminisha :
munguyupo❤
2025-06-03 20:17:13
1
napenaorg
Napenaorg :
lissu anastahili kuwepo katika orodha hiyo kwa mantiki ifuatayo jaribio la kutaka kuuwawa mwaka 2017 kuishi nje ya nchi yake kwa kipindi cha miaka kadhaa kama mkimbizi wa kisiasa kufunguliwa kesi ya uhaini ambayo adhabu yake ni kifo kukamatwa na jeshi la polisi mara kwa mara kupigwa kunyanyaswa na kuteswa na vyombo vya ulinzi
2025-05-30 08:59:05
10
mwarikimwariki1
mwarikimwariki172 :
tuliyo msubiri tundu lissu tukamkosa tujuane😳
2025-05-30 20:30:17
6
ockytz
ockytz :
orodha yko bila lisu ni ya kisenge
2025-05-30 13:28:20
4
babagetwin
HOSEE DE LAVEGA :
nakupenda siwezi kuishi bila wewe
2025-05-31 09:50:39
0
kassim.bakar
Bin Bakar :
nimesikiliza Hadi mwisho nikifiri mutamtaja lissu hiyo orodha iyo ngezwe awekwe Lissu
2025-05-30 12:01:03
3
mengoru
Elijah :
TUNDU LISU kaumizwa sanaa
2025-05-30 15:05:19
2
jmrema10
Jose Big :
Ina nchi kwako hujaona
2025-06-01 04:45:35
1
255freeman0
miloneier/billionear :
Waafrica ni wapuuzi Sana,hawana maana yoyote,wapo radhi kujua ndugu zao kuwafurahisha vibaraka wao
2025-05-31 05:01:22
1
raajih001
GHOST :
Orodha hii haina maana bila kuwataja wale wa Tanzania
2025-05-30 12:53:28
2
frankwilly18
frankwilly :
kati ya wote nani alipigwa risasi 9 kama tundu lisu na bado yupo
2025-05-30 10:15:56
2
danlumadede
penta254 :
Nzuri,sikuwa najua mengi
2025-06-02 04:48:01
1
metana2000
Robert Metana :
Huwezi kumaliza Bila kumtaja Tundu Lissu aliyepigwa risasi 32 na Kupewa Kesi ya uhaini je akina Ben saa nane Mdude je!!?
2025-06-01 11:59:38
1
mfsgs
miraji furniture supplies :
mbona unaongea kiswahili alafu hakuna mfano wa tz
2025-05-30 12:17:18
2
livingstonelile
Livingstonelile :
Lisu asipokuwepo kwenye hiyo orodha ni ubatili
2025-05-30 13:33:07
1
teacher.kuly
teacher kuly :
na hio ndio Africa 🌍 yangu
2025-06-01 10:06:34
1
user9019659223948
feruzi :
yaan mpaka wandishi abari mnaogopa kumtaja lisu tutafika kweli kwa hali hii wote uliowataja akuna aliyepigwa risas je lisu si zaidi
2025-05-30 15:35:16
1
michaelmateru
Michael Materu :
Freeman Mbowe yuko wap hapo
2025-05-30 14:16:12
2
huggo843
Official Bunzales 😎 :
Nyie Nao wajinga...Kwamba hamuoni wanayofanyia akina Lissu na upo hapa hapa nchini 😳😳, Kama sio Unafiki huo ni nini
2025-05-30 14:56:53
1
marisharimeteri
marishari seuri meteri :
mbona lisu hayupo
2025-05-30 12:36:51
2
mobaaroos
OfficialMo✅🕢 :
😍Kabinti 🔥🔥🔥
2025-05-30 08:47:51
1
To see more videos from user @dw_kiswahili, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About