@lupyanaclassic: HII IMENISHANGAZA SANA😮😮😮😮😮

Lupyana Classic
Lupyana Classic
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 30 May 2025 15:07:43 GMT
1131531
37635
5640
7749

Music

Download

Comments

abdulrahman.abdallah2
👀👀👀 :
uongo mimi ni M na damu ni B+
2025-07-17 11:05:54
35
romojohanes
Romo jr :
sema mahusiano yanatunyosha🤣🤣🤣🤣
2025-07-08 10:38:04
173
nicksonnashon739
Nick Breezy :
ukweli kabisa baba 🙌 🙏
2025-07-26 04:47:49
1
aronikalinjuna13
aronikalinjuna :
utajuaje kama una damu grup 0?
2025-07-04 05:42:26
48
haifatymohar
💚Miss Haifa💚 :
maisha Yao ya mahusiano pia ni magumu
2025-07-05 09:29:34
369
white.magari
EFREMBO KIRIA :
wenye M na group O gonga like
2025-06-16 06:12:39
2668
monie.ke
Bouse :
Wenye M na O tafadhali nifollow tukuwe marafiki tunaeza andaa party siku moja.❤️
2025-07-07 03:05:31
186
mnyama905
Hance K... :
Tunaozungumziwa tujuwane apa...
2025-06-01 07:25:36
967
miriamnyambura7
mama yao :
Kuna ka ukweli
2025-07-27 07:55:44
1
lynejerotich
queenmatu254 :
group O mko wapi gonga like
2025-07-17 13:08:01
166
lithadanifordy
litha@danifordy :
sio kweli huyu baba mwongo san mama angu herufi yake inaanza na M lakin Ana group A.
2025-07-14 17:03:08
12
emmanuellwikyelo2
emmanuellwikyelo2 :
wenye group 0 tuuunge group la WhatsApp
2025-07-17 14:12:37
117
user76812037191177
h :
mm nina alama M lakin group langu ni A positive
2025-07-03 07:03:38
158
lz58645
Lz58 :
Group O wenzangu tukutane kwenye kikao, yaliongelewa yote kweli.
2025-07-17 09:23:47
19
user58302460817218
amy :
mim "m" na ni group "o" umeongea point japo mim sina hela na nina hasira sitakagi ushauri mim ndo napenda kutoa ushauri.
2025-07-03 07:23:17
121
christinesayo175
NAMUKHULA KKG LADY :
nmesaidia wanaume wawili kujijenga nikidhani watanioa sai wananiona kama maharagwe ya juzi😭😭
2025-07-05 14:42:57
19
maliakaps
mj🇰🇪🇦🇺 :
Kila kitu ni ukweli mtupu napitia hayo yote
2025-07-03 16:57:22
85
naslov01
user783883256637 :
tunaozungumziwa gonga like ☺️
2025-07-03 08:18:44
199
priestess.goddess
PRIESTESS Goddess 💫🧜‍♀️🦅 :
muongo nina M na sina group o
2025-07-04 17:04:59
14
user4972520287145
fatuma Adan :
am m l have blood group 0+
2025-07-03 12:10:02
92
mrluoga26
❤️Mr luoga💍❤️ :
Yani umeongea facts shekhe nin ushahid mzee mar kadhaa nmekuw nikikaa dukn kw jamaa ang had ansem nisiondoke🤣🤣🤣
2025-07-12 07:11:23
3
sheila9505
sheila :
mimi nko nayo but my blood group is b+
2025-07-11 11:00:28
6
con.lee7
con- lee :
mke wangu ako na M na nikweli ako group o alafu ni mjasiri na chenye anachotaka kukifanya lazma atafanya
2025-07-05 02:06:01
41
nongwaile
Patrick Mkinga :
sasa kama m nimvuto mbona Tena wanachukiwa au mvuto wakuchukiwa au mim ndo sijaolewa
2025-07-16 22:27:11
1
aishathumari
aisha sharo :
am from Kenya and what he said is true i have letters M on my both hands and am blood O positive and ivo amesema happens to me i swear
2025-07-06 05:54:24
19
To see more videos from user @lupyanaclassic, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About