@dr.jeremiah_alexander_77: MCH.MOSES MAGEMBE, atuma akemea vikali watu wanaokunywa pombe. #AfricanMovies #viralvideos #KnowAfrica #creatorsearchinsights

Dr.jeremiah_alexander_77
Dr.jeremiah_alexander_77
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 31 May 2025 06:09:03 GMT
57525
3461
152
388

Music

Download

Comments

shehiza_01
Manyota :
Usihukumu wewe ni binadamu tu ambaye siku ya mwisho utasimama kwenye kiti cha hukumu kama hao unaowahukumu, Hubiri habari za toba, ondoleo la dhambi na kuokoka, Usihukumu usije ukahukumu mzee.
2025-05-31 07:13:38
7
chireng29
Chireng' :
Unatangaza kama nani? mhubiri huna andiko unabuni neno upate umaarufu na pesa.Unaubiri kiukisirani Yesu hayuko hivyo. SOMA KUMBUKUMBU LA TORATI 14:26
2025-05-31 17:31:04
5
gadsonmwambondo78
gadsonmwambondo78 :
Chaajabu vitoto vidogo vinasema usihukumu wewe kunywa pombe ni motoni akuna chanini wewe tukana unadhidi kujiongezea lakini moto unakuhusu
2025-09-09 17:27:40
0
user991179539407
charleschrist :
Asante kwa hekima na busara zako mmi ni shabiki wako na ninajifunza mengi ubarikiwe sana. Ni wachache kukuelewa
2025-08-27 06:56:57
1
user6935439485087
Tinnah❣️❤️ :
uzinzi na ulevi ni mapacha fact mtumish👏👏
2025-06-08 16:51:41
1
pamba2560
mbugi@4188 :
nyie mnao tumia visivyo faa wote motoni badilikani
2025-06-04 15:57:04
3
user1311774390032
Frankly001 :
Kuma kwel ww
2025-06-05 20:37:35
0
nicejesus00
Nicejesus :
Binadam nyie mnapenda mtu atende dhambi ya kuwafarij kwa kuongea uongo hakuna kumfariji mtu neno la mung lpo waz hatupindish injili mungu hasem nawatu wavuta bang na walev
2025-06-28 21:38:15
1
deborjouy00
Deborah :
wambie ukweli moto unawahusu
2025-09-18 15:02:37
0
jux_vtn
A'm medy❤️❤️❤️ :
NANI YUPO TAYARI KUOLEWA NA MIMI?😍😍😍😍
2025-06-01 21:20:56
1
user8175114073041
user8175114073041 :
ameeen
2025-07-04 17:06:40
1
frankhfrank
Frankh :
ACHA kisilani mzee andiko gan wameandika usinywe, wameandika kunywa lakn usilewe
2025-06-17 21:41:29
0
babydeeeofficial
Baby deee Official :
amin ubarikiwemtumishiwa MUNGU
2025-06-18 14:46:52
1
alfred7080
Alfred :
mungu unisaidie
2025-09-28 17:47:58
0
angelezekiel33
angel ezekiel33 :
Injili za kweli watu huzipinga wanataka injili za kubembelezana mtumishi endelea kupiga injili kavu mtu akielewa aelewe asipo elewa jihanamu 🙏🙏🙏
2025-06-05 18:27:43
3
user97198150800590
user97198150800590 :
we mwenyewe umerewa
2025-06-02 16:16:23
1
hassan.josephat
Hassan Josephat :
AMINAAA
2025-06-03 05:26:02
1
suzanajoseph71
elishaddai :
ukwel ulio nyoooka huuu
2025-06-03 09:20:24
1
user3167511245770
vivany :
mhhhhhhhh god bress kwa kusema kweli
2025-05-31 06:22:10
3
user59847521682245
Speed limit 260 :
MAGEMBE ni mmojawapo wa hazina ya nyakati za mwisho. kusema ukweli Barikiwa mtumishi
2025-05-31 06:29:17
16
ngasadand
Erlisha dandiy :
siku zote ukweli unauma lakin upo sahihi pastor , makanisa ya leo yanahubir muujiza wa utajiri na si kuokoka na kulijua neno 😌😌😌
2025-06-05 06:29:23
2
user342182014819
Rhona sanga :
ubarikiwe Mtumishi
2025-05-31 21:07:22
1
user4166119033579
Hello :
amen amen tell them again 🙏🙏
2025-07-14 18:08:31
0
shalifu.emanuel
Shalifu Emanuel :
amina
2025-06-14 07:10:17
1
madastar.mdt.pilat
Madastar mdt pilato :
Kama unampenda Mungu like hapa🙏🙏🙏 Na mwenyez Mungu akulinde katika mapano yako kwenye maisha.
2025-06-06 19:50:40
4
To see more videos from user @dr.jeremiah_alexander_77, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About