waacheni na maisha yao mataka waijue dunia ili wapate ukimwi au
2025-05-31 15:07:22
49
Juma Silayo :
Samahani. Lakini. Jetzt munaona nisawa kuwapelekea tshirt? Sidhani kama wana shida yanguo. Ila. Wana vutia pale tunapokuta wamevaa ngozi zao za asili. Sasa munavyowapa nguo. Munategemea. Something aut. Kweli? Muko very wrong
2025-06-01 04:06:08
1
killy parasi :
wanakaa karatu sehem gan kwan
2025-06-02 19:39:49
0
Leticia2503 :
Hilo tisheti itakuwa rangi ambayo haita julikana hapo baadae
2025-05-31 13:57:24
20
Chaka zuru :
where in Kenya????
2025-06-01 09:34:58
2
Shija J. Ndutu :
Alama alafu mnaanza kuwapa nguo sasa hivi linatoweka tena 🤔
2025-05-31 15:51:43
5
Roselyn :
mbona msiwanjengee nyumba?
2025-05-31 19:44:37
6
Samuel _pachou1 :
Mnaharibu utamaduni kwa tamaa zenu haya tuone mkiwavalisha mashati yenu kama hamjazika huo utamaduni kwa mda mgupi .na hii ndio utamaduni pekoe iliyo salia
2025-06-01 05:43:51
1
vero urio :
mmmh jamna mi mtu wa arusha nitoen ushamba sikujuw kama ili kabila lipo nyumban minilijuwa niwatu wapo dodoma au sumba wanga
2025-06-18 20:25:57
0
sunflower :
Waacheni muna waharibuu
2025-06-01 00:58:41
17
naah baby :
kumbe wako arausha hawa?
2025-05-31 13:45:54
0
Jay :
Ebu acheni kuharibu utamaduni za watu please kuna video niliona wamepewa k vant very sad
2025-06-01 05:33:55
0
eliwee :
wahadzabe wanapatikana karatu?🤣🤣
2025-06-07 06:30:34
1
BIGJOE 🇹🇿🇦🇪🇲🇿 :
Mnawapa nguo za nini sasa ? hapo ndio mnaenda kuharibu utamaduni wao waacheni wavae hizo hizo ngozi za wanyama ndio utamaduni ukuwe vizuri kwani hawajuwi nguo hao mbona wanajua
2025-05-31 13:56:31
3
Abui matelephone 😶🌫️ :
Oyaa hatuna tamaduni iyo usitushushe thamani kiasi icho 🥺
2025-06-01 20:40:27
1
@ pas de reforme pas d' ele :
jamani Embu waacheni waendelee na mila zao na tamaduni zao hapo walipo wenyewe wanaishi kwa Iman na kumuamini mungu Hapo mukiendelea mtawapeleka
2025-06-01 04:07:26
22
Tz🇹🇿 :
baada ya kuwa maarufu ndo mmewafuatwa mlikiwa wapi siku zotee🤔🤔🤔
2025-06-01 06:43:41
1
Dee🤍🌺 :
Muwaambh na deni la taifa shingap😂😂 wasilikwepeee
2025-07-11 20:09:50
0
A£m❣️K£nzO🍃 :
Wanapewa mashati kesho unawakuta na ngozi😂😂😂huu ni zaid ya utambulisho😂😂
2025-06-11 12:53:51
0
sabri tz :
mmeona hawavai mpaka mualetee mashati nyie ndo mnavuruga tamatud za africa
2025-06-01 06:22:33
2
master :
chaba my friend yuko wapi 😃
2025-06-01 20:00:08
0
tetema :
waacheni wavae ngozi zao mnapoteza mila zao
2025-06-01 06:01:42
1
Chalii99 :
mnawaharibu, mngewaacha na utamaduni wao...
2025-06-01 07:24:40
2
lion of judah :
chabba ndo kiboko yao
2025-06-10 13:32:31
1
Nadia :
chukueni wa Tanzania wenu msitanje kenya hata kidogo kenya hakuna watu kama hawa
2025-06-01 05:19:02
0
To see more videos from user @jmpro.adventures, please go to the Tikwm
homepage.