@sophyraphael: KILA MTU APAMBANE NA HALI YAKE😂😂😂😂😂😂 #contentcreator🇹🇿 #fyp #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 #funnyvideos😂

Sophyraphael
Sophyraphael
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 02 June 2025 06:37:32 GMT
497631
30122
2971
6215

Music

Download

Comments

user79113160223811
shebbyh :
tulioangalia mara 10 na bado tunacheka tujuane hapa😂😂
2025-06-02 10:26:16
300
deboramahelagmail.com
deboramahelagmail.com :
hatar uwii
2025-08-01 20:20:08
0
user2590748624580
mdo comfort :
kama wewe ndio unahitaji msaada zaidi 😏
2025-08-02 03:10:18
0
antonia.mrosso
Antonia Mrosso :
wana sifa hao hasa wakiona wageni! 😂😂😂
2025-06-02 09:01:40
860
virginiahwaithira
virginiahwaithira :
wee ndio unahitaji msaada zaidi😂🤣🤣😂🤣🤣🤣😂🤣
2025-06-02 16:26:15
124
user65087476185245
MO TWINS :
😂😂mimi kabsa na Hawa mapacha mpk Jana nimevunja kidore nataka kumchapa kibao akanikwepa nikapga ukuta
2025-06-02 09:43:47
382
luluflora_actress
LuluFlora_Actress :
Na likizo ndo hiyooooo ya mwezi mzima lazima vichwa vipasuke😂😂😂
2025-06-02 15:23:27
111
veronicajohn1580
Veronica John :
kumbe mimi na watoto wangu ndo tumeshaanikwa adharani hivii😂😂😂😂
2025-07-19 08:51:21
3
user59925036810
mwadjuma wa john :
kama mimi jamani 😂😂😂😂 kama najiona
2025-07-28 09:21:15
0
afficialkingdavym
Davis🦋 :
Najua haiwahusu Ila Nimeachwa Tena🥲
2025-06-10 09:24:07
9
umulisasada
Umulisa Sada :
this is my friend Felicita🤣🤣🤣 especially whenever i want to tell her what happened to me🤣🤣🤣🤣🤣
2025-06-17 12:00:14
2
husnaathman
husn✨💌 :
jamn nimecheka huyu ni mimi kabisa
2025-08-01 12:52:05
1
esthershilla
Tae...❣️ :
Walah nimecheka mpk mkoj 😂
2025-06-02 12:48:58
3
user9561812460221
Madonkey🌹🌹 :
😂😂😂😂😂dada angu unanitoa stress mwenzio nakupendaga bure dear
2025-06-04 16:00:42
4
leynah4635
hellen😍😍 :
nimecheka sana kwakweri🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-07-19 14:55:46
2
ms.kellyn
Ms kellyn❤️🦋 :
Mpk wewe ndo unaona huna matatizo😂😂😂😂💔
2025-06-02 07:09:19
285
user1326010094781
halima shabani06 :
huyu ni mm kbsa mpka jina la mwanangu😅😅😅😅
2025-06-02 19:40:38
6
geedaniely
Gee_Daniely :
🤣🤣🤣🤣🤣Mama angu alininiambia wenzako wanaenda chooni wanakunya mavi wanarudi na akili wewe unakunya akili unarudi na mavi😂😭sijaheal adi leo😂😂💔
2025-06-02 20:42:12
3
sahya.mosha
Sahya🦒🌹 :
uyu ni mm kabisa na wale watoto uwiii unaongea mpaka unapata njaa💔😅
2025-06-03 06:37:00
3
user3054405010277
Angel salon :
najiona mm na boys wangu naongea siku nzima 🤣🤣🤣
2025-06-09 13:52:28
4
sharyjojo
shary jojo :
najua haiwausu ila boy wangu kampa mtu mimba nilivyosikia nmecheka adi yy ndo kaninunia mimi 😂😂🤣
2025-07-17 07:44:54
1
tishyramadhan
tishyramadhan :
Yani uyo nimimi kabisa na watoto wangu😂😂😂😂
2025-06-02 17:43:47
1
doreencharles87
Miss Doreen :
Na ndio wanafunga shule
2025-06-04 15:30:23
5
mary.alex563
Mary alex🥰 :
nimejiona mm kabisa dah😅
2025-06-07 03:22:02
1
shammiegod
[email protected] :
Sifa zinazidi wakionaga wageni au mtuh ukiwa unaongea na simu 😂😂
2025-06-04 07:11:23
1
To see more videos from user @sophyraphael, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About