@king_m0tivation: FANYA HIVI ALFU UJE UNIPE MAJIBU🙌📚HUTAAMINI🔏🙌#oneman

One_Man 👑
One_Man 👑
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 04 June 2025 13:31:24 GMT
42949
2308
64
104

Music

Download

Comments

user3463802179686rachel
rachel cute💞💞 :
nikweli kaka unachokisema mm nlifanya ivoo nashukulu mungu sasa iv npo kwenye ndoa wiki ya pili sasa
2025-06-04 13:41:08
4
lioness001.com
Bi.Rahmer ❤ 😃 :
kweli🥺🥺🥺mm amenikataza kujipost mitandaoni
2025-06-09 00:31:07
0
sada5252
sada :
alafu kwanini mpaka tuwafanyie kitu ndo tupendwe ?
2025-07-06 16:06:03
0
clover12387
clover-123 :
jamni jamni wanaume wakumbuke amri ziendane na matunzooo🙄🙄🙄🙄
2025-06-04 18:53:29
5
user90628232653374
Lucy :
jaman mwanaume akupende tu mwenyew mm naona, watu wanawafanyia kila k2 wanaume na bado wanaambilia maumv tu na waliopndwa wanavtk na awaachwi ng,oo🤣
2025-06-04 16:34:39
5
1705cutee
🦋Eshyier 💍💞 :
ila so kila neno la kutii zingatia 🫰
2025-06-04 21:54:12
7
khashab2003
khashab :
mm nliwahi kumfanyia hvo mwanaume wng ila alniacha had nkawa cwez tna kusoma kw mawazo
2025-06-04 13:53:38
1
mwalabutz
Grean city :
Heshima an full stop
2025-06-04 14:55:18
2
anadearjuma
Shine💖 :
Wewe kweliiii 😂 wow napenda yaani acha ila sasa kumpata sasa huy mwanaume atakaye nieshimu eeeeeeh...
2025-07-08 13:24:28
0
prisck96
prisck :
unampenda Mt adi anajua unampenda lkn bdo anakuona mjingaa
2025-06-09 13:19:15
1
seky040
seky040 :
tulishafanyaga lakini bado wakatu do bad,
2025-06-05 17:18:34
1
user5816846125772
amina :
wiki ya pili😁😁😁😁
2025-07-19 04:44:04
0
evelina.elias0
Evelina Elias :
wengi wanafanya hivyo lakin hamna kitu
2025-07-16 19:21:38
0
yusufzawose7
yusufzawose7 :
😁😁 ridhik na unacho kipata
2025-07-13 09:59:07
0
rumaly6
rumaly :
fact .....appreciate this Maan mpk najihis Dunia nzim ni yet pekeet.....alhmdllh kwenye ilo 🥰 ni zaid y mapenz wallh
2025-06-24 15:50:53
0
pam51407
Pam🌹🌹 :
kaka jamn nakupenda maneno yako yanamanufaa
2025-06-16 15:48:10
0
denis.nestory3
Denis Nestory :
hajaamua kukudharau ,watu wa ovyo sana wanaume nimetokea kuwadharau mno hamjui mnachokitak
2025-06-25 20:01:52
0
user309526805
mydarling❤️🔥 :
mweeeeeeh nimekosa neno but I love it
2025-06-04 20:11:40
0
theoluxurywigs
Theo luxury wigs :
Sanamu lako liwekwe wapi kaka 👏🏻 unaongea points sana 👏🏻🙌🏻
2025-06-09 08:49:29
0
awatifrajab400
awattifrajab :
kinachoshangaza wanaume anakukataza usiwe na rafiki fulani,kumbe yeye ndie anatoka nae kimapenzi mnaboa😌
2025-06-17 09:50:09
0
its_rossie22
Rossie 💞 :
Wee kaka utanambia nn cjafany mm nimetii kuliko ninavyotii wazaz wng lkn wap aah😡
2025-06-07 17:04:27
0
mummy77352
Mummy :
Sawa kungwi
2025-06-19 18:59:48
0
madametee6
madametee6 :
napenda tu hzo umenielewa😂 na ndio nazisikia tu hapa😁😁
2025-06-08 19:24:51
0
user8771260661301
user8771260661301 :
siez jisumbua huyu hata umpe nn haezi badilika😂😂😂sina huo muda
2025-06-16 20:43:37
0
nana575003
Nana❤️💦🫦 :
Sili yamwanaum ili akupende wee nifanye humpendi😂😂😂
2025-06-05 03:41:30
0
To see more videos from user @king_m0tivation, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About