mm huwa ananibariki sana ata waseme nini siwezi Acha kukuskiza kwanza nitag kwa iyo ya nimedhibitisha
2025-06-05 15:06:10
10
Agness800 👑💎 :
unaekoment ujinga acha kumhukum mtu humjui kiundan🤪
2025-06-05 09:26:08
9
@ Dorin🥰🥰🥰 :
mm kitu najua nyimbo zake hua zinanifariji sana... na mungu ndie wakuhukum mtu sio binadamu 🙏🙏
2025-07-10 18:58:58
7
Pretty Nallie 🎈🦋 :
Adui wa mwanamke ni mwanamke!
2025-06-30 08:28:57
16
user81805384490708 :
her songs always heals me totally na Mungu akujalie nehema ya kushinda zaidi na zaidi you are my favourite ❣️
2025-06-13 05:04:59
4
Jasmine Shaniah🥰🥰 :
Jameni mtu anatoa wapi nguvu ya kumtusi Martha 🥺,this lady is very humble,I really love her,never judge someone out of things you are not sure about
2025-07-03 12:38:37
2
MARION MUBWEKA :
nabarikiwa sana na nyimbo zako I love you Martha kumbuka mti yenye matunda ndio hulingwa mawe
2025-06-07 09:02:56
2
Mariam shabani :
wengine wanasula ngum kama chuma cha mkoloni harafu wanajiday majaji wakutoa hukum kwawengine😏😏 balikiwa sana dadaagu ushindi ni razimaa💪💪🥰
2025-07-27 19:48:25
1
Magrita :
mtaongea saana na kadri mnavyoongea ndivo anasidi kubarikiwa wenye kumtakia mabaya na wenye wivu siku moja mtakufa vibaya sana alafu postmortem ikifanyiwa wapate ni bitterness na wivu na kukosa pesa imewauwa ,wanafiki shetani awarambe kwa uso
2025-06-07 14:09:14
2
Charles Ngonyani :
Mambo
2025-07-19 09:56:04
1
young chiko umufyashi :
this is my best artist in Tz
2025-07-15 10:10:04
1
agness kasto :
mungu yupo
2025-06-19 15:13:24
2
Luvuno James :
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏vita n lazima na ushindi lazima, Mungu akusaidie kipenzi
2025-07-23 23:20:18
1
gladysmutinda341 :
nyimbo zake zanifariju sana barikiwa mama
2025-07-11 21:38:52
2
triple j❤️ :
ushindi lazima hayo mengine ndo yanakusogeza
2025-07-17 06:39:22
1
user2848753458079 :
binafsi nyimbo zake zimenifariji na ninaendelea kufarijika
2025-07-15 18:36:26
2
EMELENSIANA HAULE :
nakupenda sana mathar tuwasiliane
2025-07-23 11:43:28
1
Precious :
if Kenyans you don't love her we 🇺🇬 we welcome her100000000percent
2025-06-05 20:32:05
4
ivy :
amen🙏🙏 hatuagopi ushindi ni lazima. hata iweje🙏🙏🙏🙏
2025-07-17 20:45:42
1
Amman Hakim :
keep going mummy
2025-07-24 20:48:01
1
Julia moraa Ellah :
nguvu ya matuc wa2 utoapi kwa mwenzake kumbuka humu duniani hakuna aliye mkamilifu mbele za mungu ,martha your songs zinanitia nguvu 💪napenda sana
2025-06-30 08:22:27
5
nellytununga :
👍👍👍👍👍👍 Amen 🙏🏾
2025-06-04 19:25:14
3
rebeca :
nachojua mimi nyimbo zake ni faraja kwangu kwa wengine na kwako pia hayo unayosema ndo yananfanya aseme ushindi ni lazima.... mama yako Martha 🥰🥰
2025-07-18 03:24:48
1
Drone K7 :
uchindi nilazima
2025-07-15 11:53:45
1
To see more videos from user @carenkhisa1, please go to the Tikwm
homepage.