Unapaswa kuchagua kati ya kushirikiana na kufaidika na serikali hii au kushikilia msimamo wako na Gashagua... Walishasema hawajali kuhusu barabara. Huruma ni eneo la makazi, kula maharagwe. Kwa sasa, huko kwa Sudi, watu wanapewa pikipiki, mabasi, na mashine za kusaga bure, na wewe uko hapa ukisema ukisema Wantam zako.
2025-06-07 11:10:39
1
DanKemboi🇺🇸 :
Na Gachagua aliwaambia mapema kura yenu 1.5m itafika wapi😀 na bado mnampigia makofi 👏
2025-06-06 03:32:08
1
davidkhasiah :
Hon Kalonzo welcome to transforming government please your people needs change,Dr William Ruto 10 bila break his waiting for you
2025-06-05 10:56:59
33
bradleyvukenya62 :
avery good advice to kalonzo
2025-06-05 19:22:54
33
Kijana ya Rais KBB❤🥰🔥 :
Kalonzo alirogwa
2025-06-05 10:38:57
8
Keny Philip🇰🇪🇰🇪 :
wale tunasimama na William tukonge like tuaipishe shetani
2025-06-06 04:19:21
14
Raymond Paulo :
kumi mbila break
2025-07-22 08:59:19
1
Hon KK Tarus :
Tano tena loading bila break
2025-06-06 04:31:31
1
TruthMeter :
Wakamba wamekuwa opposition for the whole of Uhuru term, now with Ruto.
Kalonzo kama hakufahulu akiwa VP wa Kibaki, sioni Tena sirkali yenye Kalonzo atapata zaidi ya hiyo.
2025-06-05 10:38:13
34
Sospeter :
🤣🤣🤣gonga ya kichwa bado inainuka
2025-06-06 02:42:48
0
MANCHESTER UNITED FAN❤️ :
Kalonzo allow kamba to enjoy the benefits of being in Government 😔😔
2025-06-05 21:20:34
4
emilytenai :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sina maoni kuhusu msioka
2025-07-28 18:08:52
1
Paz A :
mnaongelea Kalonzo na Kalonzo wenywe ako kwa shughuli zake
2025-06-05 12:00:36
3
Mark :
kalonzo anaenda Kwa serikali
2025-07-29 07:51:22
0
Proud Luo :
what happened with kalonzo? he must be regretting why he left brilliant party ODM
2025-07-20 11:34:10
0
Alex Ndundah :
this is true,on point.
2025-06-05 10:36:10
20
🇰🇪SIR DAVID🇾🇪🙏 :
hi haina comeback 😅
2025-06-06 14:30:25
1
🅳🅼🆆 :
tell them louder please 🙏
2025-06-05 11:14:50
20
KIPKIRUI CHIRCHIR :
😂😂😂😂, wakamba mnaskia...ntawachapa ka bado mtaskiza yule mtu wa mitego
2025-06-05 16:41:46
3
psalms interiors :
inafaa jamii tafauti fauti ziamke.niwakati wa kabila mbalmbali kufungua macho.
ati wakati wao wanakula na kumeza,wengine wakimeza mate ,wanasema serikali iko imara,lakini wakati wametimuliwa na wengine kuingia ati serikali inakua mbaya na haifai.ongera wakamba.bado wakisii,na waluya wachache washenzi.
Next week Kalonzo atakuwa kwa serikali. Ukiskia hawa wanaskuma Kalonzo, hiyo ni sauti ya Kalonzo inaongea. Gachietha atabaki pekeyake kwa opposition.
2025-06-06 05:24:05
3
shim :
wakamba chanukeni...Kalonzo has been in government for years...he want to prove he is relevant...forget about him...join the government and develop ukambani...
2025-06-06 04:02:52
1
To see more videos from user @kijanawakindiki, please go to the Tikwm
homepage.