jamani mtumishi wa mungu huyu anapatikana wapi.mimi nipo malawi.
2025-06-05 18:44:47
9
leah jese :
baba niombee niwena amina na watuwot
2025-07-25 10:46:38
1
Marry Agala :
amin najikubali nakujiamin kwajin la yesu
2025-07-30 10:07:09
0
Queen samweli :
baba niombee niolewe namtu ninae mpenda katika moyo wangu
2025-06-05 16:24:07
22
Joyce Frank :
daaah watumishi wote waseme ila daddy wangu namkubali napenda mafundisho yake ni kama alifungua ufahamu Kwa mafundisho yake roho ya uoga iliondoka kabisa nikajaa ujasiri wa Khali ya juu daddy nampenda Sana Sana Sana MUNGU Akutunze daddy wangu kipenzi MUNGU akupe umri mrefu daddy ❤️❤️❤️
2025-06-06 13:55:46
9
barabara :
najikubali najiamin kwa jina la yesu
2025-07-30 13:56:38
0
Regina Charlse :
ila mwamposa saingine 🤣🤣🤣🤣 kwahiyo niwe uchi wa mnyama nataman niisevu niitume statas lkn hicho kipande cha kioo kimeharibu
2025-07-09 18:24:10
0
Anita Mlacha :
najipenda,najikubali,najiamin kwa jina la yesu
2025-06-06 12:47:30
2
Prisca Kimaro :
hii kitu nmefanya jan aisee😁😁😁
2025-06-06 16:49:37
2
bint salehe :
nilifurahi aliposema tengeneza iyo camera mm sio mweusi kiasi icho🤣🤣🤣🤣 kwel jikubal
2025-06-07 11:35:47
14
Diana Denatus :
Amen, 🙏 Najisikia aman sana nikisikia sauti yako mtume napata matumaini ya kufanikiwa
2025-07-25 17:55:31
1
user6053161854163 :
Amen baba akuna mwingine kama mm❤❤
2025-06-05 18:19:10
2
Godwill :
ninapomkubali mtume ya kaisari amemuachia kaisari yeye ni neno na uponyaji wa nafsi za wanaoamini tu.
2025-06-07 15:23:05
2
agapegracepeter :
huyu pastor ni noma🥰🥰🥰
2025-06-07 18:04:22
1
Queen 👑 khumayra khadhifa :
saa9 usiku naangalia hii video nimepata kitu kipya na kikubwa sana asante MTUMISHI wa MUNGU
2025-06-06 00:14:35
10
Machumu :
Baba kuanzia sasa ninajiamini ktk jina la Yesu kristo amen
2025-06-08 09:07:55
2
gloryrafael937 :
Amen
2025-06-07 08:49:32
1
nuru @sukile :
Ila mwamposaa😃😃😃
2025-06-05 19:38:32
2
lembrisi meory :
ameeen kwel baba mchungaji
2025-07-06 20:54:23
0
Natalie charles :
🙏🙏🙏MUNGU aneniumba wa kipekee
2025-06-06 09:56:13
2
Babe vee👌💫🌹 :
Namkubali sana mwamposa
2025-06-06 21:42:25
2
🦋 butterfly 🦋 🌸 :
aminaa
2025-06-05 11:56:11
2
reen sereen🧚🏻♂❤ :
Ameen
2025-06-06 18:13:30
1
Baby J😍💕888 :
Ndomana najikubali kila sku❤️❤️👌🤣
2025-06-07 08:04:17
2
Juma Bahati :
baba naomba nioe mtu nine mpend
2025-07-27 04:32:13
0
To see more videos from user @ariseandshinetanzania, please go to the Tikwm
homepage.