we umanua na kalonzo heri yeye hako na bibi nawatoto.uwezi kutupotosha hata utuambie nn
2025-07-14 11:16:38
0
M Alexi💪 :
na RUTO ametufanyia nini wakamba tangu akue prezzo???
2025-06-07 20:33:26
0
Aoko jei :
ushawai sikia kikuyu ama mkale akitoa mtu wao nguo hivo?
2025-06-08 07:46:31
8
OBURU :
suti kombo ni nani😂😂
2025-06-07 20:35:46
1
BEN :
Mimi mtu mwenye hana bibi siez kukuskiza
2025-06-07 14:18:55
4
poultry expert :
Alfred stop.Kalonzo is near the top seat than ever. Support Hon.Kalonzo and we will be fine.
2025-06-07 16:34:03
8
Tush :
for sure Mutua you are saying the truth...atleast you did some LVSR the people of machakos and they're still serving..kalonzo must agree he failed when he had the chance.
2025-06-07 14:27:48
63
simoh :
hakuna waziri Kenya nzima amewahi pokonywa bibi na mwanamziki
2025-06-10 10:29:49
2
@_.jescar._ :
Na mbona wakamba wanapenda mtu kama huyo
2025-06-07 19:46:24
4
Liquidson :
funga mdomo afathali kalonzo kuliko Ruto mara Mia. Akamba nì ndia mùno. this is the only shot we have na mnapewa 200mnacheka mtukama huyu akiongea hii ujinga.
2025-06-08 04:54:25
1
kalisto :
how bad is kamba land🤣🤣🤣wakati si tunapiga hata mca mawe akikula pesa
2025-06-09 08:29:21
1
M.K.J :
Kalonzo hajawai kuwa president
2025-06-08 08:29:07
0
angeey :
mwaume yeyote ana bibi afai kuongea mbele ya watu .....huyu lishindwa kwake ndo ambie nini wakenya enda ukonjoe ulale
2025-06-21 03:11:47
1
KENYA ONE 🇰🇪 :
ww si mkamba mjaluo ww
2025-06-07 19:34:41
0
Base commander :
umehongwa na Ruto utudanganye
2025-06-08 13:18:32
1
Ndunge Cate :
Ukweli Mutual lord of poverty
2025-07-23 21:44:47
0
Beekay :
na pia hakuna mtu ako kwa serikali kama wewe na hana bibi hata mmoja na pia ulikaa na bibi 10 yrs bila kumpa mtoto kama wewe na ulimpa pesa ya machako
2025-06-07 19:22:57
0
To see more videos from user @kambaworld.com, please go to the Tikwm
homepage.