@j60_channel_tz: ila zuhura #zuchu

J60 CHANNEL tz
J60 CHANNEL tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 07 June 2025 19:37:31 GMT
610006
36955
664
769

Music

Download

Comments

rose_cute_og1
rose_cute_ og01 :
nipo natafuta huo ubaya mnaosemaga zuchu mbaya lakini siuoni
2025-06-08 03:11:55
302
fikotzbaby
officiallychimamiiy :
ila zuchu mzuri jaman mashaallah tuache fitna zetu walimwengu
2025-06-07 19:54:05
413
itz.mysarah_
Itz.mysarah🌹🦋 :
Mnaosemaga zuchu ni mbaya huwa mnazingatia kigezo gn maana mm namuona ni mrembo mno rangi sasa mashallah
2025-06-07 22:59:05
411
agripina.mzuma
agripina mzuma :
zuchu mzuri kuliko nandy😂😂😂
2025-06-08 04:26:30
59
ladybrendah
Lady Brendah :
Mrs simba ❤️❤️❤️
2025-06-08 05:38:29
78
karunde11
karunde❤️ :
kwa uzuli sio kweli sema mekap
2025-06-08 05:56:43
15
mohamedrwamujiri
its_medymo :
Jina la wimbo?
2025-06-07 20:49:51
8
ncutekassimu
Ncute Kassimu :
zuchu unazidi kunawili dada🥰🥰
2025-06-08 03:46:00
7
reyree2020
reyree2020 :
Huyo wa pemben ake mbona kafanana na suzy bale
2025-06-07 20:52:12
67
dharmy.dharmaya
Dharmy 005 :
Diamond hawezi wacha zuchu I say
2025-06-08 19:27:48
8
narky690
Narky🥀💞 :
anafuraha ambayo nilitaman aipate Allah mlindie aliye furaha yake
2025-06-08 07:18:33
37
user68018280873056
cute love :
wa zazibr oyeeeee
2025-06-08 15:43:08
24
navily78
@Navily :
no reform no election 🔥
2025-06-08 10:13:06
13
runiyu38
Boss Mama333 :
mashaALLAH halali ni nxuri mwaya yuwangara uso kwa ndoa
2025-06-07 21:33:16
51
shaymar08
HOT GIRL :
anaejua jina la wimbo jaman
2025-06-08 15:06:01
1
aisha.ferous
Aisha Ferous :
makeup jaamani wa kawaida saana uzuri pia ana.
2025-06-08 10:57:36
1
user3912633973055
user3912633973055 :
sura zimefura mafuta kama vitumbua vya jirani😂😂 ila pambe👌🤗
2025-06-08 11:40:02
4
jamillahmngombe
Jamillah Mngombe :
mrembo zuchu wetu wee
2025-06-09 07:50:00
9
zulfam603
Zulfa. :
Ila zuchu ana ngozi nzurii sana mashalllah 🥰🥰
2025-06-08 09:20:28
8
dr.lavie6
Dr.Lavie :
usije ukawa unasema mbaya lakini mkiekwa pamoja we mpaka ulowekwe🤣🤣🤣
2025-06-08 11:11:03
4
georgine798
user7487917592348 :
dada tunakupenda sana tuko Congo tunakosa nauli kama tungekuya kundowa yako dada
2025-06-07 20:17:08
11
vanebaby34
V𝖊𝖊 𝑴oney 💰💜🤍 :
binti mzuri ila mapenzi yamtesa😅😅😅kama pesa zinavyo nitesa
2025-06-08 03:40:27
7
victor1991e
victor :
No Reform No Election
2025-06-08 08:33:21
7
user63185732233984
nabra h, :
zuchu napenda rangi yako dadaaa
2025-06-07 20:51:08
30
aishaomy
Aisha omy 🇰🇪🫶🇰🇪💕💘 :
alaf kameanza kufanya mwili🥰
2025-06-08 07:46:20
9
To see more videos from user @j60_channel_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About