@mkongolee: Ukweli huu 😂😂🙌🙌

Jitu Jeusi
Jitu Jeusi
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 08 June 2025 17:56:32 GMT
95356
4080
413
435

Music

Download

Comments

alice.peter512
Alice peter🦋🦂 :
Mama yangu ndio kazi yake
2025-06-10 09:09:52
2
marianasteve1
Nyemore beauty♥️🇹🇿 :
au wakisafiri unaitwa ukae na nyumba🤣🤣🤣🤣
2025-06-08 21:01:55
116
mkiramweni
Kim vee :
mbona jitu lakin mbona unanivunja mbavu😂🤣🤣
2025-07-21 17:12:15
0
mamagirls882
Mama Girls :
nataka kuweka kwa status lkn dadangu atakasirika🤣🤣🤣
2025-06-08 18:32:14
33
mozakhalfan0
mo beauty💕 :
natamani niipost status sijui kwa nini naogopa🤣🤣🤣🤣
2025-06-09 11:05:17
25
laurentmacha783
laurentmacha783 :
kumaaaanina umeniotea leo 😂😂😂😂 vitanda vyote vya mout meru navijua 🤣🤣🤣🤣
2025-06-08 19:21:22
26
mkiramweni
Kim vee :
afu kukiwa nashughuli sasa ww ndio muogesha watoto namuosha masafria😂🤣🤣🤣
2025-07-21 17:28:45
0
timamyracky0
timamy racky0 :
nataman naweke status wallah ila sitaki kuwakwaza 🤣
2025-06-09 16:37:07
6
dorismnywiga2
Doris mnywiga :
mbona unenisema
2025-07-16 05:01:15
0
rosemary.lema7
Rosemary Lema :
bwana naweka status liwalo na liwe😃😃😃
2025-06-09 12:59:33
4
user7374517810796
Esther Ulikaye :
Swala la kuuguza ni moyo wa mtu mwenye huruma, ndiyo dhawabu mbele za Mungu kuliko pesa.
2025-06-10 10:02:04
13
sophiamkalula
sophiamkalula :
sina hela na siuguz watu😂😂😂
2025-06-08 18:43:40
1
levina.alkado
Levina Alkado :
Hela sina sasa mgonjwa atakula nini?
2025-06-09 10:20:33
1
roselyne715
roselyne :
nataka kuweka status lkn wakwe zangu watakataa kuleta mahari🤣🤣🤣
2025-06-08 18:16:35
4
user27340194556652
5823 :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hatariiiii sanaaaaaaa
2025-07-08 17:20:35
0
hesa_urembo_point
Hesa skin care products :
wasichana wa ndugu waiikimbia unaitwa ukakae na watoto wanavosubiri kupata mwengine 😅😅😅😅
2025-06-09 12:15:59
12
aishamudy05
[email protected] :
alafu unaambiwa pale kwake mazingira sio mazuri aje akae nae huku🤣🤣🤣😁
2025-06-09 09:43:25
5
ababakrytz4
Ababakry :
Nalo neno😂😂😂😂
2025-06-08 18:20:53
1
ummrumaysa35
ummrumaysa :
😂😂😂😂halaf unaambiwa yaa unaroho nzur jmn
2025-06-09 18:34:49
1
kudraommy
kudraommy :
yaaan nimecheka shenzi ww hapa nipo nnamuuguza mgonjwa nyoko ww🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-06-09 13:45:25
1
user1577267551944
user1577267551944 :
Au mnasafirisha msiba familia inakuteua wewe ukae na nyumba
2025-06-10 11:53:38
3
badonatafuta435
Said Yussuf435 :
We msenge matako kweli, Yaani huna unafikiri Nini hasa, au ndio unanipiga majungu😳😳😳😳
2025-06-09 16:27:03
0
nikamaomary
mom-akbar :
utaskia njoo shngazi anakuhitji 😂😂😂Mara dada kjifungua
2025-06-09 17:59:31
0
missasava254
MissAsava254💖 :
nataka kuweka status lkn my cousins, Hi cousins 😂😂
2025-06-08 19:30:46
6
iddimnembo
Iddi Mnembo :
dah niliwai kumuuguza mjombaangu hospital hadi nikajiisi mi ndo mgonjwa naekaribia kufa hospital akunogi ata kidg
2025-06-09 10:16:39
1
To see more videos from user @mkongolee, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About