@iam_hasheem: SIMON RILEY'S GHOST HII NI MOJA KATI YA SKIN AMBAYO NAPENDA SANA KUITUMIA KWENYE CODM NA COD WARZONE KQA UPANDE WANGU NI MSHIRIKA AMBAYE AMETIKISA SANA COD NA KUIPA UMAARUFU MKUBWA JE UNAJUA STORY YAKE HUYU MWAMBA KAA NA MM MKAO WA KULA... PTUTAENDELEA NA GAME YETU YA LAST OF US #pcsetup #gamingpcsetup #gameshow #gamingpc #gamingvideos #GamingOnTikTok #games #games #game #gaming #gaming #kratosgodofwar #kratos #ragnarok #callofduty #callofdutymobile #callofdutywarzone #mordenwarfare #pubg #pubglover #GamerGirl #offlinegame #gamers
video haijakutosha sasa umeona usome na coment za watu🤣😂😂🙌 aaah tulia. gonga like hapa👇
2025-06-09 20:03:54
37
Jinn Sanny :
uko wap
2025-06-12 12:43:47
0
Abbaskhan666 :
ghost aliuawa na general shepherd
pamoja na ramirez
2025-06-12 16:40:49
0
trippy :
kaka iv game ya God hand ile ya PS2 naweza kuichez kwenye pc nakama inawezekana tup totarial bc
2025-06-09 21:23:32
0
Saimon Lukos happy ❣️❣️💔💔 :
🥰🥰🥰 unyama
2025-06-09 18:36:03
0
Gustavo 🇹🇿 :
Kijeshi kila mtu hupewa jina kutokana na alivyo (nickname) na jina hilo hupewa na wanajeshi wenzako na wanakuwa wanakuita hivo. ghost anaitwa hivo ju sura yake haijulikani na hata jina lake lilikuw classified
2025-06-10 09:41:52
0
IG BABY🩵 :
iv ipo movie
2025-06-09 19:46:31
0
Mim_himself :
unamjua soap
2025-06-09 19:51:52
0
justine photographer📸📸 :
naitaji game ya kucheza ps4 naipataje nipo geita
2025-06-12 15:42:35
0
MoSeY :
namwona captain price
2025-06-10 16:33:33
2
Ram kadrov :
nikajua nimtu himself kumbe nigem🤣🤣
2025-06-10 05:49:13
1
Black saint :
unampata mactavish😅
2025-06-10 10:33:50
1
TYCOON __@17 :
we msenge muongo 😂😂😂
2025-06-12 20:25:13
0
commz :
uongo
2025-06-12 20:09:24
0
Vennieh🇹🇿🇦🇪 :
Hii ni movie au
2025-06-10 05:21:42
0
Masiu Kareem :
oya naomba niunganishe na game za live tiktok
2025-06-12 18:01:56
0
DÄX BŒ :
mbona kama kuna ghost wa kwel kuna mjeda ame ugua upande mmoja ndoo mana ana vaa msk usoni yupo kwenye jeshi la Marekani uko
2025-06-10 07:14:20
0
Haъïъï сɧïɳсɧƠ» :
hakumzika alichomwa😂 uongo huo
2025-06-11 06:31:23
0
nenga :
nakubali kaka
2025-06-09 20:26:44
0
Leè 21 :
Umesahau kitu kaka umesahau kabla yakuanza kuvaa mask
2025-06-10 11:06:01
0
Nicholaus Nasson :
siman ghost Riley
2025-06-11 15:19:23
0
PHANTOM GHOSTS☠️☠️👻 :
noma sana🤟🤟
2025-06-14 03:09:17
0
maher :
we muongo bhna izo ni stor za kwenye game za call of duty mzee
2025-06-11 00:25:11
0
Main Rodger53 :
Nmepiga warfare mpka nmemaliza😁😁
2025-06-11 15:51:40
0
jax_the_don :
linakataa kwenye simu yangu nna machungu COD war zone
2025-06-10 16:00:14
0
To see more videos from user @iam_hasheem, please go to the Tikwm
homepage.