nilituma romantic clip he replied with bible verse sijawai aibika hivyo😅😅
2025-06-12 12:20:37
118
fellydan :
Nani anataka tulikiane videos
2025-07-29 12:40:38
2
jacklineachieng19 :
Kwa wale wenye ni lazima tupitie comments huku mko aje 👋👋🫴🫴😂😂😂😂
2025-07-29 18:36:28
0
NALECK :
na nikimuambia babe come visit me ananiambia ataplan na pastor walete crusade kwangu🤔🙄🤣🤣🤣🤣
2025-06-17 04:35:01
179
Nyaugenya :
afadhali mlevi hao wakanisa na bible verses my friend utakufaa vibaya😂
2025-06-17 12:09:53
28
Mr. Kanau :
😅 😅 😅 Nilimtext good night Beib,, reply ilikuja... Shalom 🙏
2025-06-18 16:30:45
61
glow babe 💜💛♥️💚🥀🦋🦋🇰🇪 :
Me alikuja jioni ajapata niko kadress bila ngotha nikaskia mtoto wa mungu afai kukaa uchi 🤣🤣🤣🤣
2025-06-13 07:57:41
85
Damuk dama :
Mimi wangu alikua ananiita dadangu Kila tyme,,,,,mungu atakutetea dadangu
2025-06-19 10:05:45
13
Lucia Mulili :
Utajua hujui
2025-07-25 10:33:49
0
MercieMessie :
Mwingine nilimwambia ivo I feel down today akaniambia the bible says don't ever feel down because unakasirisha mungu na uwepo wa bwana uko apo karibu nawe
2025-06-19 09:15:42
27
KEVOO BODABODA :
Mimi alinikemea kabisa
bila shaka aliniona kama Nina pepo mchafu baada ya kutaka na nilihii😂😂😂
2025-06-22 07:10:29
6
user7968746004435 :
siwezi kubali kudatiwa na pastor coze wakati nahitaji hug,kiss,romance,ataanza kuniubiria neno la mungu🤣🤣
2025-07-26 18:05:30
2
Briggitte :
hao wanaojionaga wa kanisa wanakuwaga malaya adi shetani mwenyw anaogopa
2025-06-13 02:26:30
3
prince :
huko ni wapi😳
2025-06-12 05:45:03
7
njewajuja :
ubwa yeye
2025-06-17 19:55:05
0
SareRashel :
Mimi Niko Kwa comment section inafurahisha kuliko text yenyewe😂😂😂😂
2025-07-28 10:15:36
2
Pamela pamzs :
ww unasema nn mm naruhusiwa kutuma gospel hakuna love song hpo😂😂😂😂
2025-06-11 21:29:52
22
Renie bae 🔥 :
jeeesus 😅😅😅
2025-07-28 15:59:10
1
Fidel vilcom :
mimi nilimdinya akamon ; I receive 😂😂
2025-07-27 16:35:39
1
Ray :
mm wangu nilimshow I miss him akanitumia verse kwa bibilia nisome😅😅😅
2025-06-14 14:19:42
2
ISAAC RASHFORD COAST :
mnatuonea bure
2025-06-21 15:39:56
2
Sam :
hawa wa kanisa wasenge xana😂
2025-06-20 20:36:28
0
Doreen Samson :
na ukimtusi anasema God bless you thanks 🤣🤣🤣🤣
2025-07-27 18:33:07
1
Alequey :
location ya iyo barabara kwanza. Nataka kudrive hpa kama the most high ☘️, tuone atafanya nni. Bwana asifiwe
2025-06-12 05:43:15
19
user wambia :
ghai afathali ww mm hapa nimenyimwa juu kesho anaenda kupraise 😭
2025-07-26 19:39:00
1
To see more videos from user @jamesvigilantee, please go to the Tikwm
homepage.