@tupo255: kwa kazi zilizo nyooka na ubola wa hali ya juu bas simba Aluminium ndio wakuwakabidhi site yako tunafanya kazi za milango madilisha balcony aina zite na mteja atalipa baada ya kazi yake kukamiliaka 0782633627 # tupo mbezi mwisho ya kimara na nikoani tunafika#challenge #finishing #kenyantiktok #kenyantiktok #tanzaniantiktok🇹🇿 #viloraindonesia #viloraindonesia #aluminumwindows
Simba Aluminium/glass work
Region: TZ
Thursday 12 June 2025 08:28:07 GMT
Music
Download
Comments
dushyantsavania :
Sema Hilo dilisha lotee hapo limegarimu sh ngapi biashara Yako umeweka vipengele wengine mambo ya square mita tulikimbia umande hatuelew🫣😝
2025-06-14 01:56:18
18
eshiahajey :
Kama futi 5/5 ni square Mt 2.25 langu lina futi 4/5 litakua na square Mt ngapi na bei gani?
2025-06-23 04:10:15
0
noorjahan Dhalla :
mfano dieisha la mita 3 bei gani
2025-07-30 03:15:12
0
sameerah :
sijaelewa yani ilo dirisha moja ndio 180
2025-06-12 17:35:30
0
Hasnaa🌺 :
Vp kuhusu wezi
2025-06-12 19:57:18
2
GadgetsKenya :
Kenya utaleta
2025-07-24 18:44:55
0
mama yusra :
Yani ilo dirisha lote 130000 au nieleweshe
2025-06-13 17:41:10
2
Officialjannete :
Ngoja mjengo umalizike🙏🙏🙏
2025-07-30 14:46:28
0
josephat emmanuel :
njoo dm nikupe oda ya nyumba ysngu
2025-07-29 16:55:34
0
emanuel ayo :
tatizo kila kitu dar
2025-07-06 13:37:25
1
Lilian Benedict822 :
5×6 ni sawa na square m ngap
2025-06-12 10:30:46
1
Tiffah⭐🧕🏼🤑 :
kumbe sio bei sana
2025-06-12 19:14:02
0
mikui zaina :
futi 4/5 bei gan
2025-06-13 04:37:33
1
0714mahesabu makali :
futi 5 kwa 5 boss ofis ipo wap
2025-06-12 19:04:43
0
hawa mtambwa :
Sasa Kwann hamkutuambia Mapema Kama Hesabu haikimbiliki kwenye Maisha Yetu 😅😅
2025-06-13 07:13:10
5
Luihamu Mori :
mnapatikana wapi 6*6 bei gani
2025-06-12 19:49:21
1
jackline :
Je mkoani boss unafika
2025-06-14 22:58:14
0
Geph :
dirisha la ukubwa cm 200 bei gan
2025-06-15 06:07:31
0
Stella :
Dilisha la 150 kwa 150
2025-06-13 05:05:27
1
Mwanakombo Abasi :
hiyo laki ya tz sindio laki moja na thalathini ya tanzania????
2025-06-16 19:00:35
0
Alexito2 :
mnaweza kuja Moro kufanya vipimo site?
2025-06-12 13:20:08
0
Naah🌹 :
mkizungumzia squer kuna mimi sielew nieleweshen jaman unamaanisha hapo dirisha zima? 130000?
2025-06-13 05:06:53
2
Infinity :
Upande wa design tumefeli sana kila dirisha la ku-slide, hivi hamna design nyingine
2025-06-14 21:22:34
0
The Originals🇹🇿🇿🇦🇰🇪 :
Nataka ya Ile kampuni ya Emirate
2025-06-14 14:16:35
0
Thomas Daniel :
5kwa5 ni ngapi
2025-06-13 12:05:24
0
To see more videos from user @tupo255, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2025 TikWM. All rights reserved.