Natamani ila naogopa ukikatika umeme itakuaje yaani
2025-06-13 20:55:09
0
Tumsifu Nkini :
Nchi Yang ,kweli magufuli andikwe kwa wino mwekundu
2025-07-23 06:11:03
1
rashidimtika912h :
miaka mitano bila shida
2025-07-25 15:19:35
1
Royy✨ :
Tanzania Tanzania👏👏👏👏👏👏
2025-07-28 12:55:29
1
katoz57 :
hii ndo kidogo inalizisha ila co ile nyingine
2025-07-07 19:41:40
0
Nasma Hasan :
nimepamis jaman home sweet home 💓💓💓💓💓💓🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💃💃💃💃💃💃
2025-07-28 18:28:10
1
onesmo kanyanka :
magufuli tunamuona hai katika miradi yake
2025-07-19 18:38:32
1
user1513054867918 :
mitano tena kwa mama samia
2025-06-16 18:02:36
2
sifa mastaki :
nzuri kabisaaa
2025-07-29 09:32:33
0
Tengo gympsum. :
magufuli alitisha sana
2025-06-13 15:13:41
1
Khalidi Mponela :
Japo ni mchongoko kama ya nje ila letu mbona alina shoo nzuri serikali mukitaka kununua mengine nendeni mukaweke oda china mana hawa wakorea walichotufanyia sio poa yani awataki zifananane na zao😳
2025-07-21 16:05:00
0
sento :
bila magu kuwa na maono kama haya hii trani ya umeme tungeisikia kwa jirani hata hivyo tunamshukuru raisi wetu samia kwa kuendeleza mapambano
2025-07-21 07:02:28
0
kasanda :
dude kuuubwa linaitwa JPM lilifanya maamuzi mara moja na matokeo yanaonekana 🙏🙏🙏
2025-07-14 18:57:50
0
JtK :
Kuna Rais alikuja akathubutu, wengine wakamtukana eti ni dikteta, yaan wakamuita Rais wa hovyo kuwahi kutokea. Leo wanalilia hapo, mama wanyoooshe😅
2025-07-16 11:50:28
0
Sixtus Sika Sanga :
mi5 tena unaweza sana
2025-07-16 05:48:10
0
Mr. Zachy :
kazi ya baba Magu💯
2025-06-13 15:06:26
0
mama jux :
Magu ulikuwa unapambana kwakweli pumzika kwa amani babaaah tunazidi kukuombea
2025-06-20 12:51:49
0
tms :
safi sana JPM jembe letu upumzike kwa amani🥰
2025-06-13 15:03:20
0
rashidimtika912h :
mungu umrehemu magufuli 😂😂😂
2025-07-25 15:18:37
1
vicentrogers1 :
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2025-07-09 16:47:43
0
Salim Rashid :
🥰🥰🥰
2025-06-30 20:11:18
0
V cutty🥰 tz :
🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿✅✅
2025-06-17 14:17:49
0
Judith mollel :
🥰
2025-06-13 14:59:59
0
mudrick :
❤❤❤
2025-06-13 14:56:43
0
To see more videos from user @afiricanacity, please go to the Tikwm
homepage.