alafu usikie vi second wives vikiomba amani mnasahau machozi na vidonda mlivyoweka mioyoni mwetu 😔😔😔😔Mlipwe mara saba ya mateso yetu
2025-06-13 12:01:09
40
Sharon...Janeffer :
mimi huyu hapa 14 good years of my sweat then left with another lady ety nimezeeka😭😭😭😭asikwambie mtu....ni uchungu but i know up there kuna God
2025-06-13 09:23:15
361
paschal basto :
mchungaji pekee nae mkubali ingawaje sio wa dhehebu lang
2025-07-17 18:12:14
0
Lanzo :
wewe ubiri mambo ya mbinguni washana na mambo ya dunia😂😂
2025-06-15 07:31:22
20
momo of triplets :
wanawake tutafuteni pesa
2025-06-13 08:49:06
113
Queen Ella 🥰🥰❤️❤️ :
Mungu funja hawa wanaume shingo please tumeteseka vya kutosha 🤣🤣🤣🤣🤣
2025-06-15 11:49:38
3
@Asu sumina 254🇰🇪🇰🇪 :
Hapa huyu pastor anaongea ukweli mtupu
2025-06-25 09:29:08
7
annlysherz_mitumba :
Mungu mlipe Kila mwanamke ambaye ametendewa vibaya na mwanaume wake
aliyehangaika na mumewe tofali lake cement vumbi lake na Leo hii yupo anaonwa kama haifai
mm ni mtoto wa single Maza naelewa maumivu aliyoyapitia mama angu kutukuza
Malaya wote hao peponi Moja kwa Moja
ikumbukwe mwanamke ukinsababishua mwanamke mwenzio maumivu ipo siku Yale maumivu yatakurudia mara 1000
gonga like hapa kama umeelewa comment hii
2025-06-13 12:27:06
24
Yodam mwamba :
Mungu akubaliki
2025-07-17 18:54:14
0
user7019291807165 :
Papa miye ule. minaishi maisha ya matesho. Bwana ameuza Gari mbalaka njo anakuwa mwenye gari. mupaka nisha rudia kwetu.
2025-06-13 09:01:21
6
user77755593317504 :
achatu mchungaji unatugusa mioyo yetu tulipo ona tumefika pazuri ndoana tuvuruga na watoto tunaangaika naoo watoto wetu mungu sio mzungu anatutetea.
2025-07-11 13:26:34
3
King of Remontada :
That's the thing I will never do. God help me
2025-06-13 17:29:00
91
suzaensiro :
unalia on our behalf we women. machozi hayo hayatapita bure. walaaniwe.nkt
2025-06-13 09:56:18
268
Sally Sue :
And it’s all ok. We move on and working on building ourselves . Let them be with them. You focus on healing and building you. Ain’t nothing as bad as being single while married or in a relationship. There is always light at the end of the tunnel believe me. You will heal and get that peace of mind that is very significant to your mental well being. Some losses are just blessings in disguise 💕🙌
2025-06-15 03:39:58
4
Tumaini 💝💓 :
huyu baba nikama ananihubiriaga mm kwa ninayopitia
2025-06-13 09:26:22
66
خديجة🦋 :
😭😭😭😭kama ujapitia ih uwezi elewaaa😭
2025-06-15 18:13:07
10
beb valentine :
😂😂😂 wuuui nikama pastor umeniona !!!uyo n mm, but women tunaajia Mungu
2025-07-13 10:14:24
1
lùngü- böy1.4 :
Umalayafanyailajalifamiliayako
2025-07-06 08:04:31
0
faythfay :
From my experience,, usiteseke na mtu tafuta aliye jipanga already nkt