@hilarious_aura: A NORMAL DAY IN A CIVIL SERVANT OFFICE😂😂😂😂😂😂😂😂 @Katen Ke @@Boss Symoh🇰🇪 @STELLA'S LIFESTYLE 🥰💫💫 #auracreatives #thehilariousguy #happinessforall
I was an intern in one..uko Hadi interns tulikuwa tunapewa ofisi...Kila mtu yake...I've never been comfortable in my life... kunona tu.
2025-06-13 19:58:33
578
phaizaphaiza :
wait until they introduce the performance appraisal 🤣🤣
2025-06-14 16:11:45
51
DAVID NYAMWEYA :
hawa ni daktari wa public hospital 😂😂😂
2025-06-14 04:27:35
665
jess queen :
mimi kama civil servant i feel attacked,nimemaliza maternity leave juzi nikaanza annual leave 😂😂😂
2025-06-14 11:49:45
457
Nat :
the only person who is working in this office is the cook
2025-06-14 07:34:35
765
Katen :
"OUR POLICE ARE DOING A GOOD JOB"💀💀😂
2025-06-13 15:18:22
2073
Dominic Kipkoech :
attachment county unaenda siku tatu kwa wiki aty engineer hayuko
2025-06-14 13:05:20
68
giddy_polymath :
Nataka kuwork place kama hapa😂
2025-06-14 11:21:48
23
OBULUTSA 👷🏿♂️ :
Wale wamewatch hii video more than once mikono juu😄
2025-06-13 19:21:30
172
Noniee❤🦋 :
time keeper needs more salary😂😂😂
2025-06-13 20:17:08
1726
Shillah da Chosen :
mmesahua emergency meeting yenye haina agenda 🤣🤣🤣🤣
2025-06-14 11:04:43
9
Nature's drop organics :
nikiwa internship i was always being told, kazi ya serikali haiishangi mrembo enda lunch, mara wewe bado unafanya kazi haitaisha ata ukifanya enda home 😂😂😂😂
2025-06-14 04:33:42
40
Dawn K.N.🇰🇪🇬🇭 :
So accurate l did my internship in a civil office and we all those people concentrate on is food hanging coats and disappearing then per diems l didn’t learn anything
2025-06-14 04:33:16
58
@Tipsy :
wacha hao kuwa wale wa kufanya registration za Id😂😂😂😂
kuna siku nimefika huko lunch time wananiuliza naona ww ndo umeletwa tukukule😂
2025-06-13 15:14:45
695
Mosky1591🍯 🐝 :
naona wako na DH captain very active
2025-06-14 05:29:12
609
JONTE 💥 :
Kuna mse atadhani ni content
2025-06-16 11:47:47
16
AkhaSooti Kheene :
And this is what happens in most Tvet colleges……..heri lesson iBounce lakini wangoje chai ya saa nne.
2025-06-14 05:09:46
5
I̷N̷J̷E̷C̷T̷O̷R̷ :
Boss Symoh ni kukumbusha tu watu time ya kulaa
2025-06-13 15:46:43
5
C. E. O Edwin Njoroge :
This is me every single day
2025-06-14 06:23:13
27
Jebichii🌸 :
😂😂😂😂
na ni ukweli kuna county flani nilikua internship the whole year nikama nilienda job a month 😂
2025-06-13 17:34:13
165
shikomaina260 :
Best working environment.
2025-06-14 08:13:16
10
Nasha :
mkuje tuapply refugee grants za ukraine nikule 40%civil servants wanateseka😂😂
2025-06-14 10:26:40
6
To see more videos from user @hilarious_aura, please go to the Tikwm
homepage.