@airbnbtenmiles: "...Lakini ingawa Mimi naenda,Salimu watu yangu,Salimu Wakenya,Mimi nakufa lakini Mimi nakufa Kwa Niaba ya wakenya..." @Railaamolloodinga @Babu Owino @Kalonzo Musyoka @Riggy G @LEADER.#justiceforalbertojwang #odm #fypppppppppppppppppppppp
AirBNB Ten Miles
Region: KE
Friday 13 June 2025 15:08:24 GMT
Music
Download
Comments
pst kerries wangila :
huyu mzee apewe Heshima zake
2025-06-14 04:04:08
259
'ngina et al :
deep down analia ati amekufa kaa hajaongoza....takataka kwanza vile umetusaliti wakisii...
2025-06-13 20:04:20
92
ericoh kiosh 😎 :
hii speech Niya lini?
2025-06-14 07:58:26
11
openda thehalfrich :
Raila must retire from Active politics, huyu hana ahsante kama anaenda kwa ruto because of money. bure kabisa.
2025-06-13 16:47:16
151
REACHER :
Huyu akona laana mingi sana kutoka kwa wakenya damu yetu umekula kwa maandamano Kuna siku utalipia
2025-06-13 19:38:21
51
Mîss Gïñäh🖤💫 :
Raila your eyes is always watery kukuelewa ni ngumu wallaiiii☺️☺️but be strong you're a hero baba
2025-06-14 10:45:10
90
foolscap :
What all these comments about now that he's gone
2025-10-16 18:51:17
0
Martin Senior :
it pains but you made a choice to betray us the youths and joined the other side RIP OJWANG
2025-06-14 00:47:58
9
Wzippy :
usikufe aki baba tunawapenda sana n ruto
2025-06-14 15:37:00
2
Elvoo254 :
peleka uko kitu hijatahiri bana machozi yko inasaidia nan sas😏
2025-06-14 13:55:58
0
Robert Changulanyi :
umbwaaa heshimu baba
2025-10-16 19:13:48
0
user2724107276182 :
am kikuyu from Gatundu North and have alot of respect for this man.
2025-06-14 12:07:36
36
Blaze :
Safiri Salama Baba
2025-10-16 06:11:34
0
Eng. Dan Mbugua :
I will NEVER regret voting for Baba. He's a true patriot❤️🙏... only that at times, age dictates the fate. He's one president who never became 💔🤦♂️
2025-06-13 23:17:11
48
King fahad :
ww ndio mwizi mkubwa
2025-06-14 03:11:21
4
exmarine :
msaliti😂😂😂😂😂he is now dining with them
2025-06-14 11:47:22
7
Tajiri Ray :
Raila has suffered bana acha pia akae kwa serikali ale pesa
2025-06-13 20:45:07
79
Achibella :
good 💯💯🌹💪🙏👍💪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
2025-06-15 04:22:11
1
Alzy Roy :
pole baba
2025-10-15 20:09:53
0
Mr Collins🤪@Ma-coins🙏🇰🇪 :
lakini me nimefeel pia kama yeye kulia ila kura mzee hupati,,,home anyway 😭😭😭😭😭😭
2025-06-14 08:57:28
3
Bettyk :
Anaeda wapi ama nirudi Facebook 😂😂😂😂😂😂😂
2025-06-14 04:20:26
9
Skull-001233 :
I stopped trusting this guy in 2017 when he revealed his real self.
2025-06-14 12:27:10
1
Abdirizak Torres :
hta ukilia damu mara hii kura yangu upati🤣
2025-06-14 04:29:14
6
Abdihafid (Cadawe) :
Tears of deception and betrayal
2025-06-14 10:47:49
1
@Owiso ♏🇰🇪 :
na kofia zako za takataka😂😂😐
2025-06-13 20:00:24
13
To see more videos from user @airbnbtenmiles, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2025 TikWM. All rights reserved.