akili zinaanza kuwakaa eeh na ukiitaji maendeleo huwezi kumuweka mwigulu aongoze ndomaana mzee magu akili nyingi alimtumbuwa maana alimuona ni zezeta halina haiba ya uongozi
2025-06-14 03:41:03
59
Gody adventure :
vipi watu wanajitambulisha kama polis na kila kitu mapaka upelelezi nipolisi tutawaaminije polisi jmn serikali yetu jmn
2025-06-14 19:44:16
1
Thomas Kipese :
ivi wabunge wanaendaga course ya kipiga madawati 😂😂maana Kila hoja wao ni paaaa ata tuongee utumbo
2025-06-14 13:23:12
17
QuintusSeptimus :
Bashe Ali ongea kabla ya kuteuliwa. Baada ya uteuzi ana play safe 😅
2025-06-14 04:44:12
14
@gentleman. Ando's boy :
uyu mwigulu anatuchukiliaje anaongea upupu mtupu bashe umetumwa na wananchi kwl tunatama wabunge kama ww sio kama hao wanaojali maslah yao binafsi
2025-06-13 19:11:49
12
Eda Kiwango :
wabunge wote hawajitambui maan kila kitu wanapiga makofi xa tuelew nn
2025-06-14 10:01:46
6
G. wala wala :
wabunge mbona siwaelewi kila hoja ni makofi
2025-06-14 05:03:01
5
joycekimaro48 :
waziri wetu basheee.
2025-06-14 14:36:10
1
dr khery :
Bashe sio mbabaishajii, wabunge muige hapo Kwa Bashe na mpina
This supposed to be State of Emergency for National Security. GWAJIMA was RIGHT and is not about GWAJIMANAIZATION
2025-06-14 17:00:59
2
lizna :
bashe mitano tena😂
2025-06-14 04:30:34
10
Fadhili Mboyi..dereva mstarabu :
Huyu mwigulu magufuli alimtumbua baada ya kuona n mnafiki na hana haiba ya uongozi,lkn alipokuja huyu mama akamrudisha kwa maslahi yake binafsi.mtu anaongea anasoma inamaana kichwa chake hakina uwezo wa kung'amua mambo.
2025-06-15 05:02:05
2
Mai :
iv mwigulu anatuona si kama matako yake
2025-06-14 09:25:39
3
Ad music Babu mshauri w vijana :
MH mm bado siwaelewi raisi Yupo Kimya matukio yote yanayo fanyika hasemi chochote bado anataka tumpgie Kula!!! wabunge Sisi hatukuwatuma ukakae Tu bungeni uko watu MNASEMA tuendelee kuzaa shule zifanyekaz SASA wanaozaliwa wanauwawa tuzae wengine wanini!!?? kama walio zaliwa badala yakulindwa wawesalama tunawauwa nini maana!!?? na viongozi wetu mpo mnaona lkn hamsemi tukisema mnatuita wachochez mnatuita wavunjifu WA Amani WA tz tunakwenda wap!!?? UHURU ukowap!!?? Amani ikowap!!?? nchi hii !!?? aisee 😭 mungu anawaona ila inauma aisee dah 😭 bila sababu ya msingi unamuuwa Mwenzako kweli!!?? 😭😭