@iam_hasheem: HATA UKIENDA KITANDANI UKAONA AMEKUNJUNJA KIMOJA TU AKALALA UJUE ANATUNZA NGUVU KWAAJIRI YA GAME USIANZE KUALALMIKA UKO NJE MARA OOOH KANICHOKA HAPANA😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂#games #GamingOnTikTok #GamerGirl #gameplay #game #gaming #gamingontiktok #gamingmemes #gamingpc #gaminglife #GamingSetup #gamingontiktok #gamingmemes #gamingpc #gamingpcbuild #gamingpcsetup #codm #codmobileclips #codmw #warzone #pubg #pubglover #efootballmobile
HASHEEM
Region: TZ
Friday 13 June 2025 18:11:22 GMT
Music
Download
Comments
JUBECK DLS2025 :
Wanangu wa DLS2025 live games tunaelewana hapa😂😂😂😂😂
2025-06-13 22:06:25
103
Harrydinho Ronaldo🇹🇿 :
Kwan dls ni game 😂😂😂
2025-06-14 06:01:55
19
chanselakim :
Hahaha wanangu wa efootball tujuhane apa ushatuma code
2025-07-19 07:20:53
0
Master Pes🎮 :
sahihi kaka🤣🤣
2025-06-15 08:49:02
9
Gian Tz :
Wale wa drivers online na Truckers of europe🔥🔥
2025-06-16 13:25:08
1
Salumu Ally :
wanangu wa Free fire
2025-06-14 18:05:24
20
Sophy khan🍒 :
staki mwanaume kama uyo😎
2025-06-14 09:09:15
1
TROUBLE_KIDZ4 :
ANYONE FREE FIRE DONDOSHA ID YAKO
8818774250
2025-06-14 09:47:45
1
Atreus adinan :
gaming family
2025-06-14 08:02:14
1
𝐹.𝐵 CR3ATOR🇹🇿 :
WANANGU WA( E FOOTBALL)
NIlimpiga kofi mpenz wangu kisa aliziba alafu ilikuwa extra dkk za jioni nikafugwa
2025-06-14 17:40:05
8
APPIE🦋 :
AKANYAGE KUBWAKUBWA AKIENDA😂😂😂
2025-06-15 16:53:39
2
user00000 :
wanang wa freefire ✌️
2025-06-14 22:50:24
1
Bab Lyzo :
me nimeacha mademu wawili kwa ajili ya Pubg bro😂😂😂
2025-06-15 18:31:04
2
Mlawaluca🗽 :
Bubg gumu kinyama kuna wauni washenyetaji🤣🤣
2025-06-17 23:05:31
1
Sebonasty_c 21 :
Mm efootball league cpokei
2025-06-18 10:34:03
3
Leestar J :
endelea kuwaelekeza kaka me ntakuja kubamiza mtu😂😂
2025-06-16 19:03:40
0
BOIKA🔞 :
ngoja nimtumie hii video😅😅
2025-06-13 22:29:54
11
Lei95133 :
🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼 unatuokoa kaka maana hawaelewagi hawa viumbe 😭😤
2025-07-08 19:32:04
2
stevooxyndegezy92 :
nilimtukana dada angu" kuma la mama ako" kisa kanizibia skrini kibaya zaidi familia nzima ilisikia huo mfoko🤣🤣
2025-06-14 07:19:04
35
MR J :
nikaanz kuchez game namblock demu wangu 😅 kwa masaa Saba
2025-06-13 21:35:16
1
star_kid_@ :
I have to follow uu😂😂
2025-06-14 06:25:56
1
Bonny mabilika :
DEMU WANGU ALINIKUTA NACHEZA EFOOTBAL ET AKATAKA KUMUUZA BATSTUTA OYA WEE NLIMLAMBA BANZI LA MGONGO🤣🤣🤣🤣
2025-06-17 08:13:54
2
26丨LムSTMムN :
Yan kama mimi simu yangu nmenunua kwa ajili ya game kwaio mtu akipga daah!!😁😁
2025-06-17 00:31:39
0
𝐃-𝐍𝐄𝐋⛱️ :
hahahaha mwananguu WA efootball 🔥🔥🔥🔥 tujuaneee hapa 😂😂
2025-06-14 23:00:53
2
MPIGA PICHA WA TAIFA :
ila pubg inakugombanisha had na wazazi huwashikii sim
2025-06-14 07:59:29
2
To see more videos from user @iam_hasheem, please go to the Tikwm
homepage.