@uhuru.na.umoja: #Dr. Mpango is a voice of reason, hope, and progress for Tanzania. 🇹🇿 His leadership reflects true patriotism. #DrMpango #MpangoPower #UzalendoKwanz
UHURU NA UMOJA 🇹🇿
Region: TZ
Sunday 15 June 2025 21:15:35 GMT
Music
Download
Comments
abubakaribaruti90 :
acha mdomo wewe mzee watakuuwa kweli shoulizako😅😅
2025-06-16 03:19:23
3
Solomon Karitibu :
Wanao ona anafa kua raisi dodosha kokenti tujuane
2025-06-16 10:58:53
92
Marco Nanyaro :
Blessings much 👏
2025-06-28 20:52:56
0
Nyargodako :
nani kamchanganya padri jamanii
2025-06-16 06:56:57
35
nyayo_opp :
kwakweli wewe ni mzalendo tunakufunika kwa Dam takatifu ya Yesu Kristo
2025-06-16 06:29:52
60
@Kp.white :
😂😂😂😂Kuwatumikia nn
2025-06-16 19:39:15
1
khalidkasenenemas :
kwani kusini niwap😁
2025-06-16 05:01:31
1
ellylucas :
sijawahi kuwa na imani na wanasiasa, ila huyu nimemfuatilia namuelewa sana!!
2025-06-18 22:08:35
1
Mungu akutangulie baba haki ulitenda.
2025-07-17 08:50:50
0
Chaapuu Baharia :
watuwana oteshwa ndoto kwaiyo paka ajui mboga nizajion
2025-06-19 18:33:45
1
🙏🙏🕊🕊🦚🌺 :
safi sana ❤️❤️❤️tunajua wap wanao ona ujinga unao fanyika
2025-06-18 07:06:22
1
user4693176999755 :
jaman acha kujihukum ivyo, usiombe kwenda huko maana ujiu pazur ama pabaya. kama wamekukwaza samehe
2025-07-16 16:38:11
0
Abundant Blessing Decorations :
MUNGU AKULINDE BABA ASANTE
2025-06-16 02:53:57
31
mwamposa :
asante mzee MUNGU AKUBARI kwa hatù uliofanya
2025-06-17 17:04:28
1
DR.ONESMO :
Hauna deni na watanzania wewe nimkweri sana na mzalendo ubarikiwe sana
2025-06-17 06:37:58
1
loyce mahela :
Huna baya na mtu Mungu akubariki 🙏
2025-06-17 11:13:22
2
Turu Ndowo :
Na iwe.Wee italiwa.Shauri yalo 🤣🤣🤣🤣
2025-06-16 14:29:05
1
Boniface Lameck :
mzee wangu hautakufa
2025-06-25 06:06:54
2
MSABILA MICHAEL :
na iwe hahaha nimeipenda apo tu
2025-06-17 19:44:40
2
Mwajabu Hamisi :
unafaa kuwa rais
2025-06-16 17:30:47
2
Jordan classic :
tutaona mengi 😂😂laana ya gwajimarization inawatafuna taratibu 🤣😂😂
2025-06-16 18:19:20
4
Eleonora Steven :
Kweli nakuamini baba yetu
2025-06-19 10:31:52
1
James James :
mungu akulinde mkuu huyu ila anatuacha kwwel
2025-06-17 22:37:57
0
nkanga susu :
kweli wewe ndo mtu wa kweli Mungu akulinde na uzao wako wote
2025-06-16 14:45:39
22
happydonald31 :
yaani wewe ni mrumishi wa mungu ,mungu akutukie
2025-06-17 06:21:05
1
To see more videos from user @uhuru.na.umoja, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2025 TikWM. All rights reserved.