@josax_jonathan: Part 1 : Humilité De L’homme de Dieu 🙏🙏 #creatorsearchinsights #inspiration #gospel #preaching #humbled #fyp #Capcut #Bujiriri #filaderfia #bukavu #josaxcover

Jonathan Bahane
Jonathan Bahane
Open In TikTok:
Region: CD
Monday 16 June 2025 09:25:31 GMT
104640
4481
493
1384

Music

Download

Comments

lydiebigirinama
Lydie [email protected] :
Façon papa pasteur ana sema kweli,Mungu aendeleye kuku Linda baba yetu
2025-06-26 02:43:01
1
patientybahati
Patienty :
Aiko Byama humilité, njo kawaida ile, Uyu Mzee Ana juwa Mungu na Ana juwa Neno la Mungu kabisa, Abarikiwe 👌
2025-06-16 15:55:25
22
raphael.chrlirimw
Raphael Chrlirimwami ideal :
bengine aseme tuna shukuru Mungu wa dady.🤣🤣🤣🤣 eh mah! shiye ba pentecotiste tuna juwa kama sifa zina kuwaka tu za Mungu. big up kwa rév. Mulenga kwa kanisa la celpa Salem goma.
2025-06-18 10:32:34
5
user6091092996103
FRANCK Joseph :
Siku nita fika tena Bukavu ile kanisa NJO nita kuwa na ingia mu ma séjours zangu pale Bukavu adresse svp je suis pour le moment à Kampala
2025-06-17 13:03:12
4
user13093582005281
Fort :
uyu Baba ni mtumishi wa Mungu ki ukweli
2025-06-26 06:26:11
1
blessingg205
BLESSING :
bukavu kungali ma kanisa ya maana kweli❤️❤️❤️
2025-06-25 16:40:46
1
mweniyambajoseph
Mweniyamba Joseph :
kwaku pata mtu wa Mungu kama huyu si raisi, Mungu azidi kuku inua sana baba🙏🏾🙏🏾
2025-06-25 08:57:12
2
jeanbinjilesse
Jean Binjilesse :
aksati sana kuani ya Mungu mupakaliwa
2025-06-24 19:54:32
1
gedeonaksanti
Gdon🇨🇩 :
un vrai mutumishi qui respect son maître 🙏
2025-06-27 09:35:13
1
user86663309070540
user86663309070540 :
Mungu TU njo shefu
2025-06-22 21:38:31
1
kidedemukwinyi861
KidedeMukwinyi :
Baba umenisaidia musafiri
2025-06-22 17:20:08
1
jilien640
jilien :
kanisa la Philadelphia alikuwake mumetosha majina wapi namba zimetoka wapi
2025-06-19 06:09:25
0
ghislainlwaboshi8
[email protected] :
ndiyo papa
2025-06-22 19:09:50
0
alibin1960
el~segnor :
uyu papa anastaili kuwa mufano kubengine ba pasteur ; siya onaka sagesse ya ivi appart feu révérend pasteur boligo🥺🥺🥺 mungu abariki uyu papa🙏🙏
2025-06-17 21:05:07
7
eulaliechibalonza
Eulalie Chibalonza :
asante baba mungu akupe maisha marefu sikila kiongozi anaweza kusema hivi
2025-06-27 07:17:46
1
user5122930366190
GÉNÉREUX :
Un Héros vivant soyez bénis cher papa et. pasteur
2025-06-22 14:21:26
2
dogokagayo42
THE LEX QUEEN 4 :
mchungaji bora duniani
2025-06-19 03:08:01
1
madhabahuyanenolamungu
john :
😭😭😭😭😭😭😭MUNGU
2025-06-19 18:04:12
1
user8727761582511
Damiano Wamulobesi :
amen amen Papa umemaliza mwendo wako salama. namimi naoma Mungu wako aniwezeshe uzee wangu uwe kama wako baba.
2025-06-19 18:28:40
1
user98114456072215
AbinaBabone :
maisha marefu baba Mungu akubariki baba
2025-06-21 10:39:14
0
chizamika
Chizamika :
HABA NJO BA PASTEUR TUNAITAJI HABA VRAIMENT MUSINITUMIAKE MAHUBIRI INGINE YENYEE HAIKO YA PST BUJIRIRI. NIKIFIKA BUJAVU NJO KANISA NDAENDA KO HII GOD BLESS YOU MY PST
2025-06-18 03:35:09
3
mtotowaafricaministries1
shalom :
ubarikiwe mutumishi wa Mungu. Ungali kumusingi wa managing na bitumen. hautafuti utukufu na eshima .
2025-06-17 16:21:44
2
user7346141097961
MAMAN CÉLESTINE :
kama watumishi wote walikuwa wanawaza kama uyu mts na MUNGU wetu EKO NA FURAHI SANA sababu alitu umba ili tumuabudu yeye na kumu sifu,UBARIKIWE KWELI
2025-06-20 04:20:01
1
samuel.kelempu
Samuel Kelempu :
huyu baba ni moja wa watumishi wa Mungu anae jua kina la Mungu ni zaidi ya kila kitu alie ziumba mbingu na nchi
2025-06-18 06:24:06
2
neemansimire01
neema nsimire :
Kupa pasteur wa ivi mwaiyi dunia ya leo ni neema mwenye angali najuwa kama sifa niza mungu :vrm mungu akubariki baba natena akupe maisha marefu
2025-06-17 16:33:33
3
To see more videos from user @josax_jonathan, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About