@new_estate_media: Shahidi ambaye ni Afisa wa Polisi Dawati la makosa ya mtandao, kitengo cha Doria mtandaoni akitoa ushahidi Mahakamani kwenye Kesi ya Lissu
sema jamaa amahofu ya Mungu sema ni njaa tu wakuu au mnaonaje
2025-06-16 20:41:59
59
D.Royale :
sifuri ni nini sifuri maana yake hakuna kitu😩😂
2025-06-16 20:06:35
93
Mr__Conscious :
walio sikia video inafanyiwa uchunguzi wa kisayansi like 100 wewe ni mimi mtupu 🎬
2025-06-16 14:56:21
420
okusi kijungu :
miezi 2 mtu anapikwa lakin ajaelewa hadi leo🤣
2025-06-16 14:46:36
320
my country new age :
Ukitaka umuuwe mwambie arudie alichokiongea😂
2025-06-16 14:00:34
213
Rose 🌹🥰 :
Ukiskia mtoto mjinga kama baba yake huyu ndo baba🤣🤣🤣
2025-06-17 08:51:30
125
user6661140805515 :
Wamuangalie vizur huyo shahid kwenye surual yake kunaweza kukawa tayar kumejaa Ma🤣
2025-06-19 11:18:28
2
Godrich w Carthbethy :
NO REFORMS NO ELECTION
2025-06-26 21:22:27
1
Prosper Mboya :
Mungu ikikupendeza Fanya vyema awe Mali yako,, 🤔🤔
2025-06-16 13:42:35
112
telephonezone :
huyo ndo mimi kwenye presentation 🤣
2025-06-16 22:03:33
61
waria821 :
Somesheni watoto asee wasifanya kazi za laana
2025-06-16 15:52:56
150
lizy :
Unajaza zako bundle vzr tuu kuangalia yanayojiri duniani ghafla unakutana na babaako mtandaoni akitoa ushahidi wa uongo ili mtu anyongwe..kweli
2025-06-17 09:11:46
5
Mhongole@great :
huyu baada ya kesi anakuwa somebody somewhere
2025-06-17 11:11:34
5
ezekielmalley :
mungu anisamehe na huyo jamaa pia
2025-06-16 12:38:37
16
Eva rich :
huyu ni lasaba B
2025-06-16 13:17:42
34
namelessrich :
fikiria huyu ni baba yako 😭🤣
2025-06-17 02:19:43
67
Universe 🧿 :
Uongea kwake inaonekana kama kasoma sehemu 😂😂😂kwa ajili ya mtihani
2025-06-16 13:57:57
61
RONNY MUSIC :
No reform no election
2025-06-28 13:58:03
3
David empire 🦂 :
mbona shahidi kama hana ushaidi
2025-06-16 14:25:27
35
Modaha :
kwa uelewa huu najiuliza lini na sisi tutaweza kurusha makombora kama Israel?
2025-06-17 06:21:29
3
Mboje'sclan :
Atakuwa amesoma memkwa huyu
2025-06-16 12:52:15
29
Uzalendo kwanza🇹🇿 :
no reforms no elections
2025-06-18 22:05:12
1
Teddy111 :
Kuna vitu sita anavyovichukia Bwana Naam, viko saba vilivyo chukizo kwake. Macho ya kiburi, ulimi wa uongo, Na mikono imwagayo damu isiyo na hatia Moyo uwazao mawazo mabaya, Miguu iliyo mepesi kukimbilia maovu, Shahidi wa uongo asemaye uongo Naye apandaye mbegu za fitina kati ya ndugu. Mithali 6:16-19
2025-06-17 11:30:58
4
eventnhoventian :
presentation me nikipata o
2025-06-17 17:40:48
1
To see more videos from user @new_estate_media, please go to the Tikwm
homepage.