ipi dawa yakumfanya mwanamke awe namaji naute mzito kwenye tendo landoa☺️
2025-06-26 14:11:55
1
Cheru :
Mtindi ni nini ?
2025-07-20 13:32:34
0
Vanessa :
Tafadhali ipi dawa ya kurudisha nguvu za kiume?
2025-07-24 14:23:51
0
Mapembelo Cargo :
father hapo umepotosha
2025-07-20 21:16:49
0
Ummu.Nihal :
Maziwa ya mtindi ndio gani 🤔???
2025-06-25 07:52:26
7
Celyne Skyler :
Nmeenda chart Gpt kumuuliza 😂
2025-06-27 08:29:01
20
Munira Salim400 :
kwa mwanamke jee
2025-06-25 11:40:52
5
mutoto ya mungu :
me nyeto napiga lakini so kila siku nitaathirikaa
2025-06-19 13:51:51
2
369 method :
na huku Kenya wakele Wana kunywa oooooo ndio maana 😳
2025-07-24 19:27:29
0
user5253096597219 :
Mtindi ndo maziwa gani
2025-07-14 12:29:38
0
user4586369946027Abuu platnum :
ni maziwa mala ama
2025-07-03 17:44:18
0
user5491052896078faithfuly :
🤣🤣wamasai na wasukuma kwishaaa
2025-07-01 05:32:50
5
sirngimba :
ipo siku mtasema hata kunywa maji kwa mwanaume ni hatari
2025-06-30 21:00:13
10
faith🤍 :
we mzee mbingu utaisikia kweny Fm radio
2025-06-30 12:10:09
3
Vivianne :
ndo maana Sina nguvu siku hizi
2025-06-25 19:43:13
0
khauratul galby :
maziwa ya mtindi ni maziwa mala
2025-06-25 10:18:38
2
Zena Kondo :
shekhe nina tatizo la macho nisaidie
2025-07-07 07:04:42
1
firdausi :
rafiki yang ana nguvu za kiume nifanyeje?
2025-07-12 20:28:02
1
user7089648507356 :
mpaka apost milad ayo ndo nitaamini
2025-06-30 13:57:43
3
Judy Atieno :
mmm hapo sikubaliani na wewe mbona wakalenjin Wana kunywa Sana na wako zaidi ya vizuri jamani
2025-07-17 22:22:46
1
John angelina John :
.Naomba nifundishe dawa ya vidonda vya tumbo babu
2025-06-26 19:19:16
1
THEGREATMANKASUBHI :
Baaaaaaaaasiiiiiiiiiii🙌🙌🙌
2025-06-30 17:06:33
2
GOLDENBOY_FX :
nlicho gunduwa shehe kwenye comect section unatibu marazi yote sasa marazi angu nimeowa single maza na baba watoto anisumbuwa sana hem tiba ipo apo 🤔🤔🤔
2025-07-09 12:03:40
1
mwana :
babu dawa ya visunzua
2025-07-21 19:40:18
0
Kimeu🇰🇪🇱🇷 :
Kumbe 🤣
2025-07-21 18:42:35
0
To see more videos from user @sheikh.bakathir.b, please go to the Tikwm
homepage.