@mama_morini: Tumalize hii vita 😂nani anafaa kukaa mbele 💔 @I am Kabugi @Trisha_khalid

MORIN ACTRESS
MORIN ACTRESS
Open In TikTok:
Region: KE
Saturday 21 June 2025 08:42:20 GMT
7338197
403274
11555
20138

Music

Download

Comments

nyamaopeetahjusti
Deepthinker :
My wife aendeshe mom akae mbele,nikae nyuma nichat na dem yangu
2025-06-22 11:31:52
7866
waicharijunior1
waichari junior :
nunua lorii wakae wote wawili mbele😂
2025-06-21 11:35:26
12839
kennitohjohnie
ItZ Kennitoh :
mom na bibi wakae mbele me nkae nyuma nichat na dem wangu😂😂😂
2025-07-25 19:34:54
0
vitoontiiktok
Vito001 :
Weka Mom mbele, pea bibi gari aendeshe, wewe ruka nyuma, wote wakae mbele wafurahie
2025-06-21 12:54:27
9976
meddytryht
Meddy c :
kila mtu akae kwa gari ya bwanake
2025-06-21 10:22:46
3429
felixwere01
Felix Were :
To avoid all these, just get married to us orphans 😂😂😂Hutawahi kuwa na stress za ujinga kama hizi
2025-06-21 10:22:00
5890
damariseli37
damariseli612 :
kabungi achana nao wakae mbele ur wife atadrive na wewe ukae uko nyuma uchat na ur sidechick
2025-06-21 08:53:12
2693
marysilemmarysile
Marysilem Marysilem :
trisha unataka laana kaa tu nyuma mama ni kisirani
2025-07-25 06:36:10
2
user1916260540268
user1916260540268 :
wamama wachangeni ujinnga. nitakuambia kama kwa gali ya babaa unakaanga mbele naomba yangu tukae na bibi yanguu.
2025-07-25 19:54:01
0
ilymelannie5
@ilymelannie :
acting skills za morine topnotch
2025-06-21 09:30:09
3390
user1061759599328
Aggy Knight :
who noticed kabugi na mourine hufanana anipa thumb
2025-06-21 09:41:29
22
omoto09
Mike 🇰🇪 :
front seat is always for your mother if you all travel together.
2025-06-22 06:29:51
314
vincent_p01
vincere :
mother-in-law akona kucha fiti😂
2025-06-21 09:17:23
792
edel001tv
edel001tv :
Kila mtu abebwe na Bwana yake
2025-06-23 04:23:50
30
chasse.x
Chase Gommans :
Mom seats infront, no debate about that
2025-06-21 19:29:13
151
jemimahkaana
Jemmie :
am a single mum of one son,ile siku ataoa..when i visit them,the front seat will always be my daughter in-law's..back seat is for me and grandchildren
2025-06-21 13:46:58
544
shikanga16
shikanga :
l prefer sitting back as a wife❤️
2025-06-22 18:54:40
349
kerush44
Kerubo _Eve :
wife aende akadrive bwana akae mbele
2025-07-25 16:10:54
0
jarsa.hassan
Jarsa Hassan :
mum siku zote, ladies come and go, you mum will always remain your mum
2025-06-21 12:52:03
255
tayad_kenyan
tiredkenyan :
Heri laana badala ya hasira ya bibi. Mamako atarudi kwake wewe ubaki ukilala straight kama mkufi
2025-06-21 10:31:15
843
karlpeters75
🌀KarlpetersJnr🇰🇪 :
kama bwanako hana gari keep your comment 😂😂.
2025-06-22 04:53:43
288
r.a.u.l_08
Raul :
Mum akae mbele na bibi adrive,wewe ukae nyuma uchat na dem wako
2025-06-21 13:18:43
695
queenlin287
@queenlin287 :
the search bar😂😂😂
2025-07-25 08:42:18
0
biggfish43
moha biggy :
vita ximeanza za kiti ya mbele weeeh 😂😂😂
2025-07-25 12:05:36
1
leahthedreamchaser
Leah The Dreamchaser :
😂😂😂😂ati niwapee raana. Wacha niende hivi ntarudi
2025-06-21 13:49:05
12
To see more videos from user @mama_morini, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About