@fredrickmulla: Unakulaje Ugali na mchuzi wa nyama bro?😂 #storyzanjaa #foodies #fypシ #fyp #kenyantiktok🇰🇪 #tanzania🇹🇿

Master Manondo
Master Manondo
Open In TikTok:
Region: KE
Sunday 22 June 2025 16:33:44 GMT
14126
528
107
23

Music

Download

Comments

said.macomedy
Said Macomedy :
Cku ukitegemewa kama baba utaeshimu hata ugali kwachumvi kwasasa uwezi jua maana Bado nimfugo kwa baba yako
2025-06-24 10:15:19
2
khadijah.abdallah80
Dijah❤️ :
yan wewe ni mimi kabisa
2025-06-23 17:56:36
0
shaq2092
shaq :
Hivyo sisi ndo vimetukuza, home sio safi, life bila sifa
2025-07-12 14:11:35
0
motoz112
Mottoz01 :
Mzee wa chips yai 😂
2025-06-29 17:00:53
0
lifeofsusuma_
11:11 :
Kuna siku home walipikaga ugali na njugumawe daah nlifokea wote mpaka mshua😅😅
2025-06-23 07:39:46
6
abdulazizkunjenje
Abdulaziz@kunjenje :
kumbe unakula kwa mama?😳
2025-06-23 11:23:13
1
atuoger
atuoger :
unavaa kama wanawake
2025-06-23 12:37:26
0
mcgallas
McGallas :
Nguruka 🔥
2025-07-02 11:30:17
1
077mk5
Ibrahim :
km unanjaa. usingaliee hii
2025-06-24 10:38:33
0
delavider
Princito Tzee Delavider 😘 :
Maharage Ni kiungo mnyumbulifu, box to box, 😂
2025-06-23 04:43:43
1
ssulking
ssul king :
sasa mzee wangu...ugali maharage ukila si inategemea na hesabu za uchumi...ukiona hio ujue ni kamati ya ufundi lazma counter attack ipigwe mlo ujao ni panenkaa
2025-06-22 19:36:02
0
silentmaestro
Ally Abdalla :
Ddah 😂😂😂
2025-07-25 21:44:00
0
underrated_maestro8_
underrated_maestro8_ :
Watu wa Temeke hawajui NGURUKA kaka😂😂
2025-06-22 23:10:03
0
pendobaharia23
pendobaharia78 :
kwa hyo tule mat**ko yako 😂😂😂😂
2025-06-26 19:05:21
1
iam_tanzanian4
iam_tanzanian :
Honestly haipandi asee 😂😂
2025-06-23 06:54:07
0
patrick_mindfullness
patrick_mindfullness :
Even Professors Janabi approved this message
2025-06-22 23:58:50
1
gumla._.h
Gumla :
havija kukuta ipo cku itakula
2025-06-22 18:03:33
2
giftedsonm
Gifted :
Bro ushawahi kwenda Mkoa wa Mara 😂 kule wanakula ugali na supu ya ngombe imagine
2025-06-23 06:33:10
0
nailaalphat
NailaAlphat :
huo utamuuu🤣❤❤️
2025-06-23 06:37:15
1
adobert
Adobert Albert :
Kaka Ujakutana na Haragwe limeungwa na Nyanya …oyaaaaa na nazi la baresaaaa 😂
2025-06-23 12:36:32
0
lucas_mkata
The navigator :
hv kwa nn nguruka ni maarufu sana Morogoro na si sehemu nyingine
2025-06-23 06:07:16
0
theonlybrianna02
theonlybrianna02 :
Ugali ,fish mtindi😩🔥
2025-06-23 12:32:12
0
tom.hardy442
Tom Hardy10 :
🔥noma
2025-06-23 01:14:44
0
omah_laydetyga8
~Malume~26 ♍️ 0%🪫 :
Ghetto sijawah pika ugali na mchuz wallah 😁😁
2025-06-23 19:40:38
0
mrtan3810
user60270769974 :
me nakajuwa mwanetu wa azimia hupendi ugali😂😂😂
2025-06-23 03:53:18
0
To see more videos from user @fredrickmulla, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About