@tlacmeh: SIRI YA WATU WAPOLE #silent people #Motivations #Motivation #fypppppp #viral video #videotrending #Arusha Mbeya #tanzaniatiktok🇹🇿 #Kenyatiktok 🇰🇪
upole sio udhaifu na ukimya sio kukosa maamuzi
jichanganye uone
2025-06-23 18:46:27
38
Slay with melanin 👜 :
we waache wazidi kutuona kama matako yao😂💔
2025-06-24 04:51:31
25
Mrswekesa :
mimi kama mpole huwa napanga kimoyoyo kisha tukio🤣🤣
2025-06-24 09:21:18
5
mpembamayunga :
najua haiwahusu ila mimi sirudii tena kuoa narudia tena siow
2025-06-23 16:00:37
6
user526144956736 :
ukweri ndio huo hawajui tena hawajui kwanini uongee maneno haya jamani ungenyamaza
2025-06-23 14:45:37
1
Ruwq :
waambie wachunge sana
2025-07-23 15:22:05
0
thunib2 :
Hakikaa yote ni ya kweli kabisaa asantu
2025-06-24 23:55:21
1
tafumony :
mtu mpole anaweza kukumaliza na ukaja kushtuka unamalizwa baada ya kumalizwa niliwai kua na mwanamke wa ivo kila kitu ananyamaza kosa nafanya mm yey anasema yaishe.. kilichonikuta 🙌
2025-06-24 09:01:56
1
mamayao :
ukweri kabisa 🤣🤣🤣🤣
2025-06-24 00:08:06
5
BAADRU__ :
Kama umemuelewa broo kaongeya fact sana gonga like
2025-06-23 19:02:55
17
Elphace Emilyus :
Amen
2025-06-23 11:20:14
3
madam :
ni wabaya sana
2025-06-23 09:04:31
4
Jenipher Paschal :
mbona wanisema hadharani jamani
2025-06-23 12:41:16
15
nadzuwakilaga16gmail.com :
🤣🤣🤣ukweli kabisa
2025-06-23 12:46:54
13
Lizbeth mduma. :
mbona umeipin nataka kuisave hii
2025-06-24 05:35:59
3
G.star :
wanatuchukuliag pow
2025-07-09 21:09:34
2
salma Abdullah :
kwakwel
2025-06-23 19:18:29
2
Sheila :
it's true
2025-06-24 07:36:43
1
Pendo Kimage :
uko sahihi kabisa uwa wanatuchkulia maboya mnoo
2025-06-23 13:27:45
5
zakshii :
yashanikuta ayo
2025-06-23 09:19:12
5
Its-mary🦋🍒 :
Wapole mungu atusaidie nikikumbukaga ile siku kunakitu nilichotaka kufanya kitu nilifanyiwa mwezi lakin nilikuwa nakitafakali nilitaka kuuwa nilikaa nililia nikamuomba mungu. Nikama mungu aliniongoza
2025-06-24 09:25:16
0
Aminaa :
kabsaaa
2025-06-23 23:12:58
1
To see more videos from user @tlacmeh, please go to the Tikwm
homepage.