@oscar.rimoy2: DAH TUNAOMBA SINORY ASITOE HIY CC 200 MAAN KAM HII YENYEW NDO HIV EMBU CHEKI DAH😔#arusha #tabora #mbeya #shinyanga #mwanza #dar #himo #rombongannyeni #nairobikenya #nairobikenya #dodoma #kilimanjaro #tanga #morogoro

Oscar Rimoy backup
Oscar Rimoy backup
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 23 June 2025 19:35:12 GMT
2401478
36681
957
2480

Music

Download

Comments

selemanstephano41
Seleman Stephano :
tupo nanyinyi mpaka vijana wa chuga mfe wote muishe
2025-06-23 20:20:23
57
jofreyobadia
X-bity Mkaskazini :
aisee🙌speed limit akuna ndo tatizo bhn
2025-06-24 10:55:23
0
oscarenock81
oscarenock :
dereva mzima Oscar
2025-06-27 10:41:33
0
dangotewakita
Hustler 💪 😎 👌 :
Mulisema zetu ni mabati kwenye rim
2025-07-26 16:28:14
0
lucysinde3
user9617538440921 lucy sinde :
polen san jaman
2025-09-21 08:18:08
0
g19massebu
Man'Kush :
Watu wana endesha cc1250 kutoka Ulaya na wanakuja Africa yote wanazungu bila ajali, leo iwe cc200? Ni akili za watu tu mabarabarani,sisi wengine ni watu wa barabarani kila siku,swala la waendesha pikipiki hapa nchini hawa vijana ni tatizo kubwa
2025-06-24 04:21:37
162
iddy410
Iddy boy :
knavuta bange ovyo mnajifia mnaendesha pikipiki kama vichaa mnaliaa na 200cc😏😂😂😂😂 mnajuonaga wajanja kukimbizana sio na mtakufa sana t
2025-06-24 04:43:45
4
latalubaga
SHEMEJI :
hilo ni igizo Ama nn kilichobomoa pkpk
2025-06-27 05:15:34
0
urioh_tz1
🥷~Urio'h Tz🇹🇿 :
nyeupe za mashee sio 😭
2025-08-27 14:59:59
0
photographeronwheels
linc's bike life :
Sasa embu was just chilling 🙁
2025-06-24 13:37:06
0
tumaa708
Tumaa 💸💸 :
R.I.P mamen larussa 😭😭😭😭😭
2025-06-23 20:48:26
74
matayorobati1997
Mathayo robati1997 :
poleni San ndungu mliopatwa ha majanga hayo
2025-09-12 19:05:58
0
mantassi13
ManTassi13 :
Chuma ukiiendeshea sifa na ujuaji mwingi lazima ikumanue tu
2025-09-15 21:56:20
0
philibertphilipo
philibertphilipo :
kama siyo bangi speed zote izi alikuwa anawahi nini😳😳😳
2025-06-25 19:27:07
1
jmomunisi
Jay 01 :
mukuu nn mbaya tena uko
2025-06-24 20:23:07
1
nelsonmathias757
nelsonmathias757 :
duh hapo hakutoka mtu rip dereva mpambanaji
2025-09-14 17:43:52
0
thug.life6827
thug life :
Apo fezea mjomba angu
2025-10-07 08:58:23
0
tom_keen1
Tom👉keen :
Huyu kama amepona kufa atafute mbuzi achinje na kumshukuru Mungu kwanzaa aisee🙌🙌🙌
2025-06-23 21:38:54
1
aloneg0481
Alone G😔 :
uyo alie kuwa kwenyw iyo bike yupo wap
2025-10-03 18:20:19
0
saitiama1234
mollel olengang'esaitiama :
wengi mnawahukumi waendesha pikipiki lkn,ni swala la kimuomna mungu tu,pikipiki ata ufuate sheria kiasi gani ajali zake hazikwepeki
2025-06-25 05:32:03
7
christopherjosephrwama
christopher joseph :
punguzen majitapo pkpk hajatengeneza baba yako🤣😂😂
2025-09-20 21:10:56
0
ayanamini571
m gello :
niwapi apo mkuu
2025-09-14 18:27:01
0
alexlifepoa
AlexLifepoa :
sitak sana kusema ni uzembe cz Nisha pata ajali na mungu akani okoa but watoto wa chuga wanajifanya wajuaji sana na icho ndicho kina wakuta 🙏 mungu wasamehe mazambi yao
2025-06-27 19:26:48
1
ndovu.jiwe.mkwawa
Ndovu Jiwe Mkwawa :
gongo aangalie hii
2025-09-17 11:53:57
0
gunit001kenya
G-unit🏍🇰🇪 :
si mlisema sisi tunapenda boxer na nyinyi mnapenda sinoray... poleni sana ndugu zetu
2025-06-23 20:20:28
1
To see more videos from user @oscar.rimoy2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About