mimi hua nakunywa maji kama fundo tatu tu asubuhi sana, alafu inafuatiwa nakitunguu swaum na punje tatu kila asubuhi, nashushia na vijiko vwili vya asali, na by the time usiku pia hua nafanya hivyo nikikumbuka,ila asubuhi ni must iwe nimekumbuka au nimesahau must nitumie hiyo tiba,
2025-06-26 05:48:32
3
Nambi Halima :
Je kinaweza kutumika kwa mtu mwenye presha ya kushuka,naomba kujua hap
2025-06-26 12:59:33
2
Oliver Gold :
na iyo pia n dawa ama???😏
2025-07-31 15:41:12
0
Balimanda Jensen :
Asante sikuwa najua hili
2025-06-27 04:28:55
0
kalvoo_20 :
kila chenye faida hakikosi hasara .....je hasara zake ni zipi
2025-07-10 20:02:27
1
libraryoftimbuktu :
sio kitunguu SWAUMU,kinaitwa kitunguu THOM.
2025-06-26 02:13:12
10
mwarogokazungu :
ni nzuri lakini mko mbio sana kwa video mpaka huwezi soma vizuri
2025-06-26 06:04:12
2
josephati lesso :
Kila mtu dactari TikTok utatuua
2025-06-27 02:48:21
3
Oliver Gold :
ma iyo pia n dawa ama
2025-07-31 15:40:41
0
j4 :
kina faa kulaa ukiwa una sumbuliwa na acid reflux dkt🙏
2025-06-29 17:30:08
2
@naseeb_simba.fans :
Kwa mtu mwenye vidonda vya tumbo, ulaji wa kitunguu swaumu unaweza kuchochea asidi na kuathiri zaidi ukuta wa tumbo, hivyo si salama kiafya
2025-07-16 13:07:08
1
Claudette Ramazani :
asanti
2025-06-27 12:21:37
0
Kyla Cleophas :
Asante sana,ubarikiwe
2025-06-26 06:50:38
2
wenya :
kwanini umtolee mfano rowasa hauoni kuwa nizambi jaman
2025-07-15 19:00:52
2
user2268069756105 :
Number kumi umetupiga hivyo vinazalishwa kwa wingi sana Kondoa na Singida
2025-06-26 14:26:04
0
user81838815411588 :
kwa mtu mweny prexh natumiaje
2025-06-30 18:17:27
1
Mnanka Mhabe :
ndugu yangu mimi naomba unisaidie hapo kwenye pressure ninakifanyeje ili niweze kujitibu
2025-06-27 09:37:29
0
Ramadhani yasini :
ila mungu fundi sana
2025-06-26 22:32:36
1
Mshani Wellness :
@mbajuni2 na @bellavistar_01 zingatieni somo acheni ujuaji wa mlivyokariri. Mnazua taharuki
2025-06-27 08:51:25
1
saidathbarak951 :
Mimi nikitumia napumua kwashida sana
2025-07-16 20:03:01
0
celine :
thanks
2025-07-20 03:01:03
0
abdulrasul :
siyo swaumu kitunguu thom
2025-06-26 17:16:20
0
خالد بن الوليد :
nlitumia mwaka 2018 kwa ajili ya vidonda vya tumbo nilikata kata pisi kama 8 nikaacha vipate hew dkk kumi nikameza nikanywa na maji nikapona alcers
2025-06-27 13:09:58
0
Rankboi_sativa :
Kwan ukitumia bila kutafuna hupati hizi faida
2025-06-27 17:27:32
0
FBI :
saumu
2025-06-28 16:22:41
0
To see more videos from user @mshani_wellnes, please go to the Tikwm
homepage.