@happystore.tz: Replying to @SAFE_ZUNGU_PHONE&ACCESORIES BEI 45000/= full set Tupo Dar Ubungo mawasiliano utapata kwa kufata dukani karibu. Kama haupo dar please agiza ndugu au jamaa akufatie dukan 078654. 6444 Set inakua na mswaki, dawa na charcoal powder-45000/= 1.mswaki pekee 25000 2. Dawa pekee 20,000 3.paste pekee 10000 #whitening #teethpaste #teethwhitening #teethpaste #teethwhitening #teethcleaning #teethcare #teethcleaner #teethwhitening #teethwhitening #tanzaniatiktok #happymarkettz #trendingvideo #makemefamous
Mm nashangaa sna mtu anafanya biashara mtandaon ila cha ajabu anashindwa kusema anapatikana wp na bei yeye dukan kwetu halaf mnakuja sema maisha magumu kumbe hamwez kujitangaza
2025-06-27 05:13:04
77
maylady🥰🦋@# :
Unajuwa bwana Hawa wafanya biashara wa mtandaoni siyo kuwaamini Mimi hiyo dawa jamani nilinunua elfu 20 na usafili nikalipa elfu Tano lakini Haina nguvu yoyote Bora tu mtumie colgate
2025-07-28 07:42:10
8
Arusha @ one :
ukiona hivyo niwapigaji hao na hawapo serious kusaidia watu location , na nmba ni muhimu au itakuwa hawana usajili
2025-07-30 22:41:13
0
DR GODPHREY :
so kweli hapo Kuna kitu kinaitwa tooth sensitivity itakusmbua hapo matibabu yake ni veneer vinginevyo watakuja kukulaumu badae na huo unyno hauishi kwa hiyo njia Bali kwa scaling and root planing
2025-07-25 18:59:17
8
Zainab🥰💃🥀🥀 :
bei gani na mpo wapi??
2025-06-27 08:05:50
0
aishaabdull7 :
Wanyiramba, wanyaturu hamjaisikia hiyo twendeni chap tukachukuwe
2025-06-27 04:51:12
11
khadija fadhil :
😂😂😂😂Ila comment za humu chukua Namba nenda wasap kama unataka
2025-06-27 07:11:57
1
mani :
taja bei na sehem ulipo, acha ufala dada
2025-06-27 09:54:06
2
MchinaQeen..🥰🥰 :
wapi mpo aseee chuga tung'areee
2025-07-30 22:00:41
0
Mama D :
meno yangu yachuga vip yatang'aa!!
2025-06-27 10:02:27
0
smartboy_mesbeats :
mmmm ogoa matapeli nili agiza hiyo dawa waka niambia elfu semanini nika lipa lakini lakini hakuna nilicho kiona zaidi yakuibiwa watu niwaongo nyie
2025-07-26 18:35:49
0
Jessy 🦋 :
Mtu hasomi caption alafu anakuja kubweka comment section, si urudi tu fesibuku 😂
2025-06-27 07:38:25
7
Adolf muteba :
mnaonekana matapeli voz Amtaki kujibu madwali ya wateja@ wenu
2025-06-27 05:16:57
0
Adina_Divae :
Ila watu bwana kila mtu anauliza bei na location wakati ukisoma caption yake kaeleza kila kitu,someni maelezo acheni lawana tu kiruuu
2025-07-24 22:40:50
1
j winner :
Wapigaj hao
2025-06-27 06:24:52
0
Glady kivuyo :
sema bei usijichekeshe2 apo kama uko siriaz na biashara
2025-06-27 13:18:10
1
Mi Corazon 💙 :
Natamani Nimsaidie Kujibu Bei Na Location Maan Kaweka Kila Kitu Hadi No Yake Ya Simu 🥹😂
2025-06-27 07:07:42
7
SASHA🇨🇰 :
uo msuaki kwanini usiwe na vichwa 32 Badala ya vichwa vinne ili Kila jino like na kichwa chake
2025-06-27 13:52:46
0
san_sendile :
msitupostie kama hamuwez kuweka bei,location
2025-06-27 05:00:04
34
King D👑🇺🇸🇨🇦 :
Mtu unamuulz bei yeye anajichekesha tu😏
2025-07-25 12:17:03
2
TEP COLLECTION :
Hivi ni kweli hamuoni caption hapo chini au mi nd sielewi 😳😁
2025-06-27 06:43:42
11
Nature🏞️🌿 :
location ni wap sas gamang ayo umeeleza vizur location husemi
2025-06-27 09:57:09
1
Manshivo :
Kama hutaji bei na wapi ulipo basi Matako yako ondoa tangazo lako la meno kama ngiri
2025-06-27 13:51:59
1
Hosea Mafie :
ofisi yako.iko.maeneo gani hapa Arusha
2025-07-26 19:24:05
0
Ashura Kayago :
mbon hamsemi mnapatikana wap
2025-07-25 21:40:04
0
To see more videos from user @happystore.tz, please go to the Tikwm
homepage.