@cctvexpert_tz: SOLAR POWERED THREE VIEW CAMERA PTZ linkage 4G camera 6Megapixel, -⚫️Hii camara ni special sana kwa matumizi ya mashambani, kwenye mifugo (ranchi), Majumbani, mgodini, Viwandani, kwenye Site za ujenzi na sehemu mbali mbali za biashara -⚫️Hii camera inafaa sana kwenye sehemu zenye changamoto ya umeme sababu inatumia Mwanga wa jua tu -⚫️inatumia line ya simu 4G inakubali mitandao yote, iwe Voda, Airtel, Tigo, halotel zote zinakubali kama upo sehemu yenye Wifi pia unaweza kutumia. -⚫️Hii camera ni Waterproof IP66 haitosumbuliwa na Mvua kubwa, Radi wala Mavumbi; -⚫️ina motion sensor inakupa notifications kitu chochote kikipita hapo kwenye site yako na unaweza pia kuset alarm mtu akipita inakupa notifications; -⚫️camera hii ina Two way communication itakayo kufanya kusikia maongeze ya hapo site kwako na pia unaweza kuongea na watu wa hapo site kupitia speaker za camera na kusikilizana vizuri; Camera ni HD na ina infrared night vision; Price; 200,000/= tsh Tunafanya delivery ndani ya Dar es salaam na Mkoani tuna kutumia kwa Ndege na Bus: Call/ Whatsaap 0719640182 Shop location; Sinza madukani opposite na Vunjabei.

cctvexpert_tz
cctvexpert_tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 28 June 2025 10:38:33 GMT
3286
53
4
18

Music

Download

Comments

.mcjonas
MJ GAMES :
ndan ya ofisi inaeza kukaa sola ikaka nje?
2025-06-28 16:20:21
0
user5143353732610
Mike :
bei ikoje
2025-07-12 14:10:11
0
alexkatamfya383
alexkatamfya383 :
how much
2025-08-01 19:41:25
0
eshmoju3
eshmoju3 :
💯
2025-10-20 15:00:17
0
To see more videos from user @cctvexpert_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About