@getubraids: Karibuni sana boses 45tu#extension

getubraids
getubraids
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 29 June 2025 04:56:50 GMT
463000
11233
374
2300

Music

Download

Comments

riyungeen
RITA💋 :
Wenye makomwe mnatusaidiaje jamani🤔
2025-07-08 19:18:11
2
zayglammakeup
Zayglam-Makeup :
Walee wa Dodoma mje tuwashonee hii style bei rahisi kabisaa❤️❤️
2025-06-29 09:43:48
19
itslety88
it'slety88 :
kwa nywele ambayo haina dawa inakaa? Kipenz
2025-07-24 13:25:16
0
nushheart_19
Nushheart_19🇸🇴🌸 :
kama una nywele fupi hazibani unaweza kushonea hivyo
2025-06-29 06:55:04
1
lilian.yusti
Lilian Yusti :
bei gani kama hivyo mamu
2025-06-30 14:26:57
8
user9357992020575
Aalliyah🦋 :
Unapatikana wapi kipenzi
2025-06-29 19:17:41
2
motorcyle44
🧸🧸 :
Team Getu apa jamn❤
2025-06-30 10:10:42
2
savvana947
Savvana :
Kutoka tegeta kwa ndevu mpaka hapo nauli shingapi
2025-06-29 17:56:22
0
florence.faila
Florence Faila 🥰🥰❤❤❤ :
salon iko wapi ?na numero ya téléphone
2025-07-16 08:27:13
0
geedaveen
@geedaven❤🦋 :
up wp
2025-06-29 08:03:18
0
lizyheroine
lizy heroine :
Wale wa Arusha mjee niwafanyie ninzur mnoo
2025-06-30 21:11:56
1
marrynorry
marrynorry :
naomba no yako
2025-07-17 12:49:39
0
shayyan.wizzle
bahaty shayyan :
Sasa cc wenye nywel nying itakuwaje aitavimba vimba
2025-07-21 14:53:45
0
angelp680
💫💫angel smile🌸 :
lazim nywel zeny daw na pia lzm mtu awe na nywel ndef
2025-07-18 07:20:54
0
asteriamwinuka
Asteria Mwinuka :
Weavingi gani hilo
2025-07-19 10:51:36
0
pizzo.mtena
pizzo mtena :
inakaa mda gan
2025-06-29 13:39:24
0
home_flavour_3
𝕸𝖆𝖘𝖙𝖊𝖗 𝖕𝖑𝖆𝖓🫡 :
Hazina ncha au zina ncha
2025-06-29 18:04:39
1
meramin12
qute mera💞 :
wigi linaitwaje ..nimeskia shushu au
2025-07-15 19:41:08
0
brendamarley60
Brenda Marley :
kila kitu 45000 wig kwako
2025-07-22 07:38:54
0
user3855483244139
zakia :
the
2025-07-09 09:58:13
0
cakesbypauline2023
cakesbypauline2023 :
Mi nauza cake bei rahisi jamani karibuni
2025-07-05 16:27:59
1
bintyzaky
Binty zaky :
inaitwa track and sew... extension Ni yakubaka juu au mwisho..I thought you should oknw..
2025-07-01 02:55:45
1
rahma.hendeka
rahma hendeka :
nakuja kesho nitapiga simu au kuna kuweka oda dada
2025-07-19 15:57:01
0
kidoti552
kidoti.🥰 :
inafaa kw nywele iliootea?
2025-07-21 08:40:18
0
user5246158022915
user5246158022915 :
arusha sehem gani
2025-07-08 14:58:31
0
To see more videos from user @getubraids, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About