@ijuetanzania: Ukifika mwanza usiache kutembelea hizi hoteli. #tanzaniantiktok🇹🇿 #mwanza

Tanzania yetu
Tanzania yetu
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 29 June 2025 12:42:21 GMT
226284
7294
519
394

Music

Download

Comments

peter.magige
Peter Magige :
hakuna hotel nzuri Itaacha waghill lodge mwanza hii ni hotel yenye nyota 5
2025-07-18 22:11:36
4
_aim4justice_
HR OFFICER :
LENANA HOTELS wana huduma nzuri sana
2025-07-27 20:03:30
1
bennym22i
M2tui :
kuna hiyo moja inaitwa KUMALIJA....
2025-06-29 21:40:16
11
coreancorean869
coreancorean869 :
Kingdom Hotel my place
2025-06-30 05:36:13
2
elineemaswai
elineema :
lenana na vizano umesahau
2025-07-03 21:20:50
2
dynarose560
dynarose🎶🎵 :
Antelope bonge la hotel kwa usafi ni kiboko na chakula kitamu
2025-07-26 16:18:42
0
preckyroprous
PRECKY_ROPROUS🧸 :
Ryan’s bay unapatatikana mwanza sehem gan?
2025-06-30 07:04:28
1
aunt.fau
💞aunt fau💞❣️ :
ambayo nishaingia n tourist tu😂😂😂😂ukosefu w pesa bhn
2025-07-24 07:03:33
0
she_picca
Picca__Store :
Kiukweli zote ni za kawaida
2025-06-30 22:29:23
1
rose519552
Rose🌹 :
Nishalala zote na kila hotel na bwana wake😏
2025-06-30 10:08:40
11
mazengo26housingco
Mazengo housing co :
Mwanza hotel ni moja tu na bado haijakamilika kujengwa nssf kapripoint hizo zengine ni guest house tu
2025-07-07 17:22:04
0
fredyvedastus
Fredy Vedastus :
vizano hotel
2025-06-30 05:09:15
3
happnecyvagas
Happnecy Vagas :
kwatunza
2025-07-01 09:26:35
1
frednand7
frednand7 :
mbona hujaiweka nela Lodge sasa na ww
2025-06-29 20:30:11
6
madam_adiya
Madam Adiya :
hadjen wana chakula kizuri ooMg☺️
2025-06-30 06:24:21
4
brymilies
Mr B :
Tilapia asee ndy nimefika kat ya yote hizo ❤️❤️
2025-06-29 20:50:05
2
jastinyanga
jastinyanga :
Malaya wanaona sifa kutaja kuwa wamelala hizo Hotel zote🙌
2025-07-03 22:59:55
0
john.mushi.moshi
John Mushi Moshi Mmachame :
ni cwe mwongo ze lahe pendwa sana eneo langu la kula na watoto wazuri
2025-07-23 11:53:36
0
joshua_traders
joshua_traders :
Njoo KSB HOTEL utanishukuru baadae🙏
2025-06-29 15:44:44
11
gabbyhenrg
Gabby :
Antelope na Tunza sijaona
2025-06-30 06:17:12
1
sushi_gucci3
sushi_gucci3 :
Hotel kingdom 🔥
2025-06-29 20:37:10
12
annie_herself09
Gracious 🦋 :
kuna mm sijawahi kuingia hata Moja😂
2025-07-01 17:22:42
0
olivermachange
olivermachange :
Nipo mwanza mwezi wa 7 sasa na sijuh ata sehemu moja inabidi nipate Marafiki wa huku sasa ata wanitembeze kidogo😃
2025-07-02 10:59:05
0
joshimselff
Joh🤴 :
Fimbo hotel sijaiona na wag hill
2025-06-30 06:40:12
7
joseph.magere7
Joseph magere :
where's ADDEN PALACE HOTEL and ADDEN CITY HOTEL
2025-07-24 16:15:58
0
To see more videos from user @ijuetanzania, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About