@foodloverstz: Wapenzi, kama unapenda nyama hakikisha unajaribu hii recipe ni 🔥🔥🔥, badala ya mishkaki unaweza kufanyia nyama choma pia. Electric Skewer mnaipata @vyombo_centre pamoja na machine nyingine nyingii za jikoni, anatuma popote ulipo. Marinade sauce, ginger garlic sauce pamoja na sauces nyingine nzurii za kupikia mnazipata @foodlovers_products, kwa mawakala mikoani kote nchi nzima.

foodlovers.tz
foodlovers.tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 02 July 2025 09:17:20 GMT
457560
20540
381
1262

Music

Download

Comments

foodloverstz
foodlovers.tz :
Viungo nlivyoweka; 📍Mdalasini, binzari nyembamba, pilipili manga, mbegu za giligiliani, Star Anise. 📍Tangawizi, rosemary pamoja na mchaichai.
2025-07-02 09:20:04
253
sanbellbed1
Sanbellbed :
nipate mke kama huyu.. nitacheat kutafuta nini jmn
2025-07-02 11:28:30
141
avk.store
avk store :
I love you
2025-08-13 17:08:25
0
shufaina.khamis
Shufaina Khamis :
mashine umenunua wapi?
2025-07-02 13:21:04
1
annymassawe03
Machinga _wakishua3 :
maelekezo nimeshapata bado nyama tu
2025-07-03 12:36:23
44
bintimboya1
Iron butterfly :
tuachane na chakula usoni unatumia nn dada ang
2025-07-03 14:33:54
1
fettykessi
fettykessi40 :
Samahani wewe ndio malkia food?
2025-07-02 10:07:41
16
wachumademo
Boss Girl :
mimi hua nachemsha nyama kwanza na viungo vyake kwanza
2025-07-04 10:06:51
2
paschal.daudi
Paschal Daudi :
hawa watu huwa wananichanganya Sana Kati malkia food,,,na food lovers,,,huyu anapenda kusema karibuni tupike pamoja,,,ila malkia food anapenda kusema mahi 🤗🤗🤗na anametisha nguo na sufuria anazopikia hiyo siku 🤣
2025-07-02 19:34:21
29
mghosiwanjama1
kikore :
how much is the machine
2025-08-09 06:03:46
0
peclosepeter
Peter Mwanisawa :
Mwalimu kama mwalimu😂😂😂 kuna wali nazi yako moja HV nilipikaa oyaaa ni hatarii😂😂😂 kazini wakauliza kuna mshangazi nini kakupikia😂😂😂 kumbee kijana nilimfata foodlover
2025-09-01 10:10:33
2
bintiwakassim1
Zahra Kassim255 :
maelezo tayar bado hiyo machine na nyama
2025-07-10 12:36:08
1
itshappy713
Ms HappY♡ :
sasa mbona machine za kupikia n nyinga sana s tutajaz nyumba kwa vyombo ty
2025-07-02 13:09:38
7
aishatheboss1
Aisha :
jamani😋😋😋
2025-07-04 12:51:43
0
mariam.juma850
Model Riyadh :
kusema kweli sijapendaaa mate yametoka wallah umenitamanishaa na uku unga wa ugar akuna jomon
2025-08-03 18:29:23
1
datiner7
datiner 💞💞💞💞 :
shingo hiyo
2025-08-31 09:32:59
0
catty2953
catty :
shingp inauzwa
2025-08-12 06:40:12
1
happy.kija
Happy Kija :
wew ndo mpishi nae kupenda ♥
2025-09-21 19:56:03
0
mabubwehomeorder
Mabubwe Home order :
kutafuta gono
2025-09-20 18:42:01
0
user9237779361362
nic :
mdada was so fine jmn sijuh wengine hawamuoni 🤷
2025-08-01 16:54:44
1
salomesummary
Salome Summary :
nadhani tuelewani Kuna vyombo vingine tutavikuta mbingu tuache vipite😂😂😂
2025-08-21 18:03:59
1
eliadajorwa
Eliada Jorwa :
Hicho kifaa kinauzwaje?
2025-09-15 10:49:06
0
rahma.shafii
Rahma Shafii🥰🥰 :
nyama Ali hamdulilah ugari subhaanallah😂😂😂😂😂
2025-08-06 12:44:48
0
neematifeli
Neema Tifeli :
unawakala wa viungo mbeya
2025-07-02 11:30:01
0
chichimackson7
Chichi Mackson :
mdada naomba nijuze bei ya rosemary
2025-07-02 11:55:09
0
To see more videos from user @foodloverstz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About