najua bibi ya huyu....na alinambia nisitumie iyo kitu.
2025-07-07 18:22:23
14
Dantezz :
mmi niliambiwa niweke kwa maji ikae soda ya Fanta. Aki after 2 months nilikuwa almost like a toothpick na nilikuwa 103kgs.
2025-07-08 08:55:16
2
Mary 254 :
slim people wanaeza tumia juu Naogopa kulose weight
2025-07-17 17:44:24
0
The Eagle :
inasaidia aje ebu mtuchanue
2025-07-07 18:00:56
1
Lukas 2024 :
Ivo venye naskika ATI it's healing stomach ulcers ni ukweli ama ni biashara tu
2025-07-11 07:46:54
0
ElsieBilly :
unaweza changanya na moringa
2025-07-07 14:21:16
5
muchiri lk :
How can i get it. Niko Chuka in Tharakanithi
2025-07-07 12:53:50
4
Jayden :
Ive been using it for years now😂😂kama pilipili ya kawaida😂sioni any benefits apart from kufanya chakula ikue tamu😂😂😂😂People just fall for anything uku TikTok 😂😂
2025-07-10 06:33:12
6
Mèló🎶 :
cayenne pepper cayenne pepper Kila saa🤨
2025-07-17 08:59:55
0
zippy favoured :
hi unachunga hiyo resudue
2025-07-08 19:17:24
1
mercyliner :
mtu analamba ama anaweka Kwa maji
2025-07-03 22:02:17
0
Rono Frankline :
Hii kitu ni how much?
2025-07-07 14:11:56
1
𝑱𝒂𝒚 𝑷𝒓𝒊𝒏𝒄𝒆... :
Mombasa nitapata wapi
2025-07-08 21:56:43
0
Bernie :
huwa inaosha fp
2025-07-03 16:45:34
2
kadot. 040🥰 :
na wale huumwa na mgongo ,watumie nini
2025-07-08 05:48:31
0
annemutie :
Naeza mix na asali?
2025-07-14 15:13:19
0
Maureen 😘 :
naeza tumia nikinyonyesha
2025-07-13 23:28:38
0
The beutiful nyakio :
hi..inamaliza gas na bloating ???
2025-07-16 10:56:06
0
petrson03 :
how much
2025-07-09 23:29:27
0
Zuri's :
results gani you are talking about
2025-07-14 13:56:17
0
Stephano steph :
Inasaidia na nini ebu mnichanue
2025-07-07 17:24:00
0
kiyama :
what is the use of cayenne Popper?? can anyone tell me please??
2025-07-11 16:09:43
0
Queen 💝💞 :
hii dose ya hpilory ni how much
2025-07-05 02:01:49
0
BULL :
uuuih my first time niliweka kijiko mzima nakuambia niliona hell
2025-07-08 04:56:54
0
Trizah G :
day two nitakua na results soon
2025-07-10 16:07:13
0
To see more videos from user @dr.spice.organics, please go to the Tikwm
homepage.