@newzuchu_world: HAPO PENYEWE HAPO #hapochallenge #zuchu #gnakowarawara #diamondplatnumz #dzforever #tiktoknigerianigeria🇳🇬 #zuchu #tiktoknigerianigeria #goodpeoplegang #dzforever❤️ #yfp #peaceandmoney #tiktokasouthafrica🇿🇦 #zuchuinarusha #tiktokrwanda
NEWZUCHU_WORLD
Region: KE
Saturday 05 July 2025 06:50:41 GMT
Music
Download
Comments
ivan :
huyu mganga atanimaliza surely sasa nywele ya ruto ntatoa wapi surely 😂😂😂😭😭
2025-07-05 11:13:40
38
love 🫶sley :
😭😭😭zuchu umevaa nn Leo jmni 😭😭😭 huu msiba acha t mungu atumalize cio Kwa ufuska tunaoufanya ewe mung wang nitunzie kizaz chng
2025-07-05 19:00:47
1
shebesh :
bwana anajua mastingoh kuliko wife😂😂😂
2025-07-06 21:25:06
0
germana :
si yupo na mume wake ??kuna shida gani jamani mhh tuuacheni kudauti kila kitu
2025-07-05 11:02:33
8
Lilian namz :
from today onwards i will be comments in bemba mwanya😭😭😭😩 we see if you are going to understand
2025-07-05 17:42:09
11
BIG THINKER :
wanamsema yammi anavaa uchi,na hapa vipi jamani,sema todaut nyota
2025-07-05 09:45:04
5
Ahlam🌛 :
uluminati mtupu waone na huyo mwenzie wakimba na macho wanavoyafanya kama wafuu
2025-07-06 07:51:28
0
lyza wasima :
kimwili kya zuchu jamani ki zuri🥰🥰🥰🥰🥰
2025-07-05 12:04:16
11
Shadz :
Love bird's ❤️❤️❤️❤️
2025-07-05 07:20:08
12
Hawaii :
my couple
2025-07-06 19:53:08
1
Néema Kitambala@ :
walishajuwana sana
2025-07-05 09:04:11
4
shaa :
mume hazimo mke zimeisha😅
2025-07-05 18:04:25
3
azaramohammed6 :
My favorite ❤️❤️
2025-07-05 17:26:59
2
Talia njeri :
zuchu hiyo nguo ni baya
2025-07-05 19:56:06
1
carnigia :
Michael Jackson wa 😂😂
2025-07-05 17:15:17
1
sheaida sadick :
ila zuchu nawewe tambua kuna kifo duuuh
2025-07-05 20:20:35
1
Ratfa juma :
yammi kazidi bn kwan unamuona kitovu na yammi ndy mavizi yake
2025-07-05 19:48:09
1
sa🌹 :
mbona kaacha kitovu wazi na hamsemi
2025-07-05 14:05:54
1
princess D :
nakupenda but mavazi nayo apana sasa mother inlow anaona Mali ya bidd
2025-07-05 10:13:16
1
dhaifa534 :
ety hlf wanasem waislam hao mung awalan
2025-07-05 17:21:36
1
Eva.B❤️❤️♥️ :
😂nawapenda jaman
2025-07-05 15:39:23
3
@cessreima🦋🦋 :
Wenye uwa wanna watch love island, zuchu anafanana na Chelley ❤️❤️❤️
2025-07-05 13:48:02
1
alisuleiman000 :
ukipata type yako maisha yako yanakua rahisi
2025-07-05 16:54:57
1
Mwajum Utesi :
nawapenda sanaaaa
2025-07-05 07:37:44
3
mamniksaid :
Hizi laana wallah tutafika akhera tukiwa tumechoka
2025-07-05 13:51:22
1
To see more videos from user @newzuchu_world, please go to the Tikwm
homepage.