@happieereuter: Replying to @Myrine #tiktoktanzania #fyp #tiktokkenya #viral_video #hairstyle #naturalhair

happieereuter
happieereuter
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 05 July 2025 14:47:42 GMT
813862
19137
687
143

Music

Download

Comments

juliety361
juliety kalisty :
Kunaa nywele zenu alafu kuna nywele za wadada wa karatu,,manyaraa,,, babati na mbulu
2025-07-05 20:18:37
563
202304myra
myra :
sas mbn kuna mstari pemben af haujifichi ata unapozivurugua 😉😉😂😂
2025-07-07 15:22:15
20
am_rahab
🍀Rahab🌸 :
😂😂ndo mana wabongo ata nywele hazioti kisa makasiriko na nywele za wenzao 😂😂🤣🤣
2025-07-05 20:05:08
372
vicentsali2
vicentsali2 :
wale wa kulaikiana video 5 hapa
2025-08-10 14:40:23
1
nanah.massawe
Nanah Massawe :
Nywele Sio Yako Iyo Dada Kawaongopee Wqtoto Uko
2025-07-09 06:55:30
21
glam_jackie
Jackline stores :
Wote mliocomment kiroho mbaya nimeview profile zenu nywele zenu zinachekesha sura zenu ndio msiseme🤣🤣🤣
2025-07-05 19:13:47
147
faynah7
faynah :
Kuna mahali umeunga ndomna huo mstr haufunikii
2025-08-15 09:37:44
4
princessnairrah
@princess nairrah❤️🦋🔐 :
Hizi ni nywele zake za hasiri ni kweliii
2025-10-01 12:59:21
2
user5992410040261
asnaty adirian :
ni nywele zake na mm mbna niko hivo
2025-07-18 10:00:39
12
lizzah712
💗fly girl🥹 :
Naomba mka like video zangu zote 😒
2025-07-07 09:24:16
8
nimah7560
Nimah🥰 :
wabongo apo wanaziona nywele😂😂
2025-07-05 17:11:46
18
binti..jj
binty😘😘 :
nipe siri ya mafuta ya nywele
2025-08-10 19:15:38
2
pheetz0
shabby daughter ✨️ :
wale wa 7/7 nalipa chapuu
2025-09-02 10:16:10
1
awards933
Awards💕 :
Yaan mtu badala aombe product analeta makasiriko😂😂😂 haya baki hapo na vuzi lako uzani kila mtu ana nywele kama zako😂😂🥹🥹
2025-07-13 16:03:17
11
user1925685239999
Hands crafts :
ila mm nmesoma na wadada wairaq, nyaturu wana nywele balaaa hao Mungu kawapendelea tu tuache wivuu
2025-07-06 12:44:21
45
cattytz5
Catherine :
wale 10( /10 tuondoke
2025-09-05 22:41:15
0
arusha_ladieswear
ARUSHA LADIES WEAR :
Ooh masikin awamjui happy ni mwiraq nywele hasili yaooo😂😂😂!!!
2025-07-06 12:59:21
10
ashurantandu0
ntandu :
Hakujui ni mmbulu ww mnakuaga na nywele nyie ni jamii ya akina yesu na hao wazungu 😁
2025-07-07 06:35:21
7
cummy_de_jewel
jeiy🦋 :
mgenii uyoo kaanza kukuona juz🤣🤣
2025-07-05 17:20:24
154
meryd31
meryD :
ulizaliwa pembeni ya get la mhindi
2025-08-09 10:47:17
2
user6969398358387
Irene 😍 cute :
🤣🤣🤣 nywele yake hiyo, mbona hata mimi ninayo
2025-07-05 18:54:34
5
user859baby_lizzy
Lizbeth mazeze :
nna rafkiang ananywele hyo ya Happy ikasome ko wapo snaa ty wenye nywele ndefu
2025-08-22 23:18:34
0
vivalover4
Vivalover :
achana nae hajui kama kackazin tumejaliwa nywele na sura❤❤❤
2025-07-10 07:41:48
2
being.riri05
_Riri🫦 :
Nipeni mwaka tu sasa😂
2025-07-06 11:06:50
1
ceci_cosmetics
Ceciactress :
hakujui huyo mgen lbd n wewe😂😂😂😂😂 ...Aanze kukufatilia
2025-07-05 14:56:21
3
To see more videos from user @happieereuter, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About