@frankmavura: Sifa 20 za mke bora, akiwa na sifa hizi oa bila kujiuliza mara mbili 🤵♂️💍👰 20 qualities of a a good wife #wife #WomenOfTikTok #men #wanawake #ugandatiktok🇺🇬 #tanzaniatiktok #swahilitiktok #swahili #kenyantiktok🇰🇪 #ndoa
Kama umemuelewa Frenk mavula na una mkubali gonga like
2025-07-05 15:46:40
167
madam g :
nina sifa hizo ila shida napenda kukagua cm yake cku akiwa amelewa nasoma sms zote za madem zake nachukua namba za hao mademu nasev wakiwa wanampgia kama nipo nae hapokei..bas mm nawatumia sms hao mademu..kusoma hujui hata picha huon unampgia hapokei anakuchatisha hujiongezi kwamba yupo na mke wake sio mpaka akuambie kwamba kaka ukiona hapokei cm zako ucku jua kaoa..basi wale mademu nilikuwa nikiwaondoa kwa njia hiyoo now bby ananiambie et ooh mamy ckuhiz nimetulia naacha umalaya wale madem cku hiz hata cm hawapokei et anasema mungu kaamua kuwaondoa kumbe mm ndo nilikuwa nikimuharbia bila yy kujua🤣🤣🤣🤣
2025-07-06 07:59:38
39
user5579810956912 :
napenda kumtunzia mume penzi langu hata kama haja nioa kushirikiana, huruma na ukomavu, kumtia moyo tusonge mbele niko na moyo wakutoa, kusimamiFedha
2025-07-07 20:42:38
1
💐mrs muhamed ♥️💋ashfayna🥰🥰 :
mi hizo sifa zote sina 😂😂😂,asante rafiki wangu wa maisha
2025-07-05 16:10:25
16
Rerambo :
huyu unayemsema ni wifiangu kabisa,yaani kwa jinsi tunavyomfahamu kaka yetu wasingedumu na wasingekuwa walipo.Nakukupenda wifiangu unamuheshimisha bro
2025-07-08 09:29:50
6
Aisha :
Nina hizo sifa hila nangukia tu kupata wapenzi wa hovyo tu adi moyo unachoka kwa kupenda
2025-07-09 00:00:25
1
d_pianist :
hamna cku umeongea point icyo na maana, blessed broh kazi Yako njema
2025-07-06 11:20:17
8
Esther charles :
Kwanzia leo naanza kuwa na hizi sifa😁
2025-07-08 08:40:14
1
Analize :
Zote ninazo
2025-07-05 15:26:27
4
salome Mbwambo :
unatoka kwenu binti. unasifa zooote hiizi unaanzia kubwaltizana na watoto watundu. kisha babayao anakupiga mitukio. yaani unaj
2025-07-06 20:58:42
3
💁🏽😘 :
Unaongeaga point tu mungu akutunze
2025-07-08 06:01:20
2
mrs omy❤🥰 :
mbn vyote sina🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂
2025-07-09 08:57:35
2
kiongozi :
mbona sifa 20 kwanini zisiwe 2
2025-07-08 13:15:42
1
KZ🧕 :
Izi sifa wanawake wengi tunazo ila sasa kumpata Mwanaume wa ndoto yk ndio Tatizo Mungu tuhurumie wanawake tunapitia mengi💔
2025-07-06 02:53:25
2
user66533477731520 :
zote ninazo hongera kwake mume wangu🥰
2025-07-07 04:54:41
1
Judith Mdope :
zote
2025-07-07 21:45:51
1
user811277229946 :
ninazo karibuuu zote nimekosa mbili tu🤣
2025-07-06 16:46:37
1
MR ERIA :
nzuri kk
2025-07-07 17:59:25
1
💝MS. ROSE🌹🥀 :
mbna mm sna sifa hata moja. unanisaidiaje?
2025-07-07 07:02:09
2
veronica John :
Namshukuru Mungu sifa zote ninazo ila amenacha na watoto 3 bila huruma naomba Mungu awe mfariji wangu 😭😭😭🙏🙏
2025-07-06 11:18:56
1
unique 🧡 :
Haya tuambie kazi ya iyo kucha kidole cha mwisho
2025-07-08 06:18:38
3
emmax 34 :
Asante bwana Frank wangu anasifa hizo zote na mawaidha mengi kutoka kwako🤝🤝🤝🤝🤝
2025-07-08 07:13:19
1
alpha :
mimi ninazo zote ila sikupata mwanaume sahihi
2025-07-07 05:40:17
1
Dripp with Soso Shembe :
Sina ata moja😂😂😂😂
2025-07-07 11:25:14
1
Elizabeth :
Mimi zote ninazo na tunapendana na mchumba wangu lakini ndugu zake wanapinga na hawataki tuoane wameshatuzungusha sana😭😭😭😭😭😭
2025-07-08 05:34:37
1
To see more videos from user @frankmavura, please go to the Tikwm
homepage.