@doitlikeanini: So glad we are outting brands that dont give us value for our money!!#fyp #nuvita

ANINI🤭💗
ANINI🤭💗
Open In TikTok:
Region: KE
Sunday 06 July 2025 13:51:07 GMT
1069331
67157
3167
4060

Music

Download

Comments

rachealc8
Racheal Cherotich :
na coke ya skuizi haitokei kwa mapua
2025-07-06 23:28:57
11733
prettyvee205
vee💋🦋 :
na viberiti utawasha ka kumi ndio iwake
2025-07-06 21:01:17
6823
holykoolaid222
mxgxnjxmxx :
choco primo😫
2025-07-07 17:44:31
0
nyambura_reen
My name :
na Ile sticker ya imperial leather imeanza kutoka pia
2025-07-06 20:53:32
2737
smoothieoperatorxoxo
Liv🧍🏾‍♀️ :
I’m so happy tumefika kwa spices..next do crisps!!!
2025-07-06 18:09:53
4232
www.gejo
Gejo :
kampuni ya chumvi tu ndio haina ukora ukali ni ile ile ya 1907
2025-07-07 05:59:47
5061
kushchacha07
kushchacha07🇰🇪 :
Na ball gum ni mchwa mchwa mbili ishaisha😏
2025-07-07 06:20:49
2027
ifingerboys
PATRICIAAAA :
Drinking chocolate😔😭😭
2025-07-06 15:51:12
597
3174ol
 :
first weigh ndio mjue kama mnafaa kuendea school fees ama zii
2025-07-07 17:58:20
0
okany_1
Props :
😂😂😂Kampuni zinashangaa what's popping! Wacha nihesabu vijiti za spaghetti
2025-07-06 21:15:10
117
alexiuskay
Kay :
Na hamjaguza crisps😂😂zimejazwa pressure inaeza jaza tyre ya tingatinga
2025-07-06 18:28:42
2719
baracbunei
unknown :
alafu next kampuni ya ginger biscuits watuambie kaa tangawizi imeisha kwa market
2025-07-08 04:02:09
18
helpa_k
H£LP∆ :
Cadbury drinking chocolate siku hizi walificha scooper
2025-07-07 10:59:11
11
itsessieshan
Esther :
na lolipop wametoa bigG😌😌😌
2025-07-07 12:33:04
175
fanice1999
@OFA :
mi nataka tu kujua mbona fanta orange hutaste juice cola sikuizi.Kwanza ikipoa😩😏
2025-07-07 03:05:05
298
evleen52
Ev Leen :
styling gel hailalishi adi baby hair😏
2025-07-08 20:11:43
28
mamazoey17
Nancy G :
Measure the content kwanza kabla mharibie watu biashara
2025-07-07 05:36:05
63
tasly8
miss dee :
nice biscuits walifuta sukari yote guy's
2025-07-06 20:37:40
218
maureenfuraha
Maureen :
Sahii huezi finya zile royco cube juu ni ngumu kama mawe😂
2025-07-07 07:03:05
620
chemtai.razzy
chemtai razzy :
Nilifungua pilau masala ilikuwa nusu hadi nikaogopa kutumia ,I thought mtu wa duka amechota🤣🤣
2025-07-07 05:14:24
9
bajee.5
Bajee.5 :
black current inataste ukwaju
2025-07-07 09:13:17
12
artkimani_kym
Art Kimani_kym :
Next batch itaandikwa "Now Filled up" 🤣
2025-07-07 08:01:47
9
judene558
judene58 :
mm nauliza nani ataongea mambo ya ringos 😥
2025-07-07 10:12:49
42
kibe237
Rëìg'ñs🇰🇪 :
mchele 1kg siku hizi ni 2600pieces na ilikuanga 2850😭😂
2025-07-07 01:20:00
586
c.omondi
chan🦒 :
na mkimaliza, tufuatilie wale wa Tropical heat...tujue ni crisps ama hewa ndo tutakula
2025-07-07 07:24:06
38
To see more videos from user @doitlikeanini, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About