@mswahili_media: The Story Book 📖 #fyp #foryou #fyp #foryou #viral #foryoupage #tiktok #trending #thestorybook #wasafi #witchcraft #sadstory #mustwatch #growmyaccount #LearnOnTikTok #viral #trending #humanbody #swallow #unlockmylikes #grownmyaccount #tiktok #tiktokers #tiktokmusic #tiktokviral #LearnOnTikTok #challenge #trendingchallenge #duet #stitch #tiktoktrend2025
Mswahili Media
Region: KE
Sunday 06 July 2025 19:47:58 GMT
Music
Download
Comments
Abby Suhaylah :
Tuliojaribu Kumeza.. bila kupumua.. Tujuanee 🤣🤣
2025-07-07 09:11:28
387
COLLINS MONTERO :
nani amemeza mate mRa mbili
2025-07-07 13:07:35
129
big paul :
kwa sabab koo haliwez fanya kazi kwa pamoja
2025-07-25 15:56:25
1
Drêãm–çhãßêr :
mimi ñiko na uwezo,naishi kenya
2025-07-26 18:52:29
2
Dieumerci Muhindo :
Ila nikweli
2025-07-17 15:51:34
1
KABUYE_PHONE_STORE :
je unajua ukimeza mate lazima kamkundu kajifunge😁🤌🏾
2025-07-09 10:22:34
1
Amosi@12 :
kweli bwana nimejaribu mate mala 3 mkeka umekubali🤣🤣🤣🤣
2025-07-13 10:27:01
6
i gotz :
na ukimeza ukiwaa una pumua lazim ubane matako
2025-07-13 22:03:08
5
Fai :
nimejaribu Adi na kuna ka ukweliii
2025-07-28 04:51:31
0
alexkalex0 :
hata kunyamba lazima ufunge kupumua kwanza
2025-07-07 09:00:48
20
Leticia :
umenichekesha sana maana nimefanya ilo apa 🤣🤣🤣🤣🤣
2025-07-07 15:18:19
13
yustopius :
acha uongo wako
2025-07-07 05:10:34
5
𝘀𝗮𝗺𝘆 𝗱𝗿𝗶𝗹𝗹𝗲𝗿🧢 :
😂i have tried several times
2025-07-16 10:20:36
1
mvm@2000 :
true kama mtu anabisha ajaribu kunywa maji
2025-07-07 11:26:36
7
azizmiraji1 :
nimejaribu hapa kumeza bila kupumua nikamuona malaika mtoa roho ananichekea nikaona ngoja nipumue kwanza nitakula hata kesho
2025-07-08 13:30:12
1
alphaxrdsaid said :
ni mim mwana anatomysit
2025-07-18 13:22:07
1
OFFICIAL_MISS KENYA🇰🇪 :
Watching this while eating😅, nimejaribu several time😂😂😂😂
2025-07-10 10:32:34
2
hadyasadiki :
Ndio maan ukinywa maji kwa pupa kwa sekunde kadhaa ukitok hapo unavuta hewa kwa nguvu yaan unahema kwa pupa
2025-07-07 23:26:16
1
user1895979621250 :
uko sure haiwezekani? 🤣🤣
2025-07-08 19:01:37
2
babashafimustapha :
nime kubali baada yaku. jaribu
2025-07-07 18:56:37
2
Husna_Meleak🇪🇹🇺🇲 :
Nikama ushikwe na Kuharisha na kuchafya huezi kuzifanya kwa wakati mmoja
2025-07-07 16:49:37
3
Dr Sigaro :
Kwan sisi situlikua watoto?au watoto sio binadam
2025-07-14 11:58:46
1
wîzkîd :
nimemeza mate mpaka ikaisha kwa mdomo nikijaribu😂
2025-07-15 23:00:16
3
mbaya iyo :
tunao jaribu kumeza tujuwane
2025-07-09 23:02:27
1
roba :
ni nani kati yenu amejaribu tendo hilo😂
2025-07-16 17:45:49
1
To see more videos from user @mswahili_media, please go to the Tikwm
homepage.