❤️❤️❤️❤️❤️❤️Nilimuona pale TRM nivile tu nilikua far ningempa kimujuu with his voice in my head 🤣🤣🤣 Ati DJ afro kusema ukweli nakupenda na mapenzi mapenzi haina mipaka shaa shaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂
2025-07-26 13:34:21
2
Festus ouma Snr :
he is, hawa wengine wote ni china make
2025-07-08 08:04:58
2
travis🧓 :
My urge to watch these movies but i fear my neighbours hearing the sounds 😂😂
2025-07-07 21:01:46
101
stanos sk :
Uyu ni kimonda, amenitembeza nchi mingi sana na malipo n sweet ya kamuti, adi leo siezikosa sweet ya kamuti kwa bag, nkimpata nimlipe, sipendi madeni
2025-07-31 06:39:39
1
frank :
☺️🤣ww ndo umenifany nijue ulimwengu wa movies
2025-07-13 18:54:25
1
CHIBUNIZER🇰🇪 :
best of the best dj
2025-07-07 12:28:21
6
OCBD NJORO :
Afro tunakwamini Kuna sauti nataka hile unasema Kuna hoja gani Kuna hoja gani
2025-07-09 12:48:07
2
kijana flani :
hii sauti ilikua inafanya mtu analoose hope manzeh 😂😂
2025-07-07 18:52:43
3
M'kotama finiest :
Naeza pata movies zako wapi man
2025-07-08 06:41:10
15
wanjohi 🇰🇪 :
afro alitufunza special weapons and tactics 😁😁 tumebakisha tu kupewa mabunduki Sasa
2025-07-08 20:22:28
38
Miles peterson🇰🇪 🇺🇸 :
Hiii Sauti Tu ilikuwa inafanya Ata homework haifanyiki😂😂😂😂
2025-07-07 21:47:07
2
JayJay :
lakiñi Afro tunapitia shda mob kupata movie zako tunaenda YouTube kudownload after kuileta unapata si ya Afro title ndio inasema hvo but ndani si kazi
2025-07-10 03:44:14
7
Tobeyy rajubhi :
dj afro nimeishi kutamani kukuomba updates of new indian movies
2025-07-07 19:09:21
2
nirvanchizi :
we need this guy back wenye aliachia kazi imewashinda
2025-07-09 11:40:52
2
jackson :
One of my favourite and best ever dj 🔥🔥
2025-07-08 10:55:13
2
all categories :
DJ smith to the world
2025-07-07 16:38:08
3
peris G :
ulifanya niwatch prison break mpaka season 39.mkuu unatoa episode moja kama season tunauziwa soo
2025-07-30 04:37:26
1
vickyjully :
nlikua nawatch movies zake,Tena uko gikuyu tv,,shida ni unapata wengine wameandika dj afro movies but unapata sio yeye
2025-07-09 10:45:43
1
HASSAN💘ADEEL🇺🇬JUMA :
Afro wewe ni mkora kweli kumbe wewe pia huwa una watch hio movie na sisi me hufikiria wewe hukuwa na hawo watu
2025-07-08 12:30:45
5
deFrancois :
you need to verified
2025-07-22 17:59:33
2
collo6216 :
Much more from your fun from Kajiado
2025-07-08 13:07:32
1
AnGrYBiRd😡 :
mbona aliacha
2025-07-07 16:27:24
2
City_Boy :
tukiandàmana beshe moja kwa moja hadi upande ya Hong Kong China
2025-07-08 07:48:46
1
edwardnjoki850 :
hii mtu aliedaga wapy by the way???
2025-07-08 16:44:09
1
To see more videos from user @djafro_official1, please go to the Tikwm
homepage.