@enzohdeadly: Mnapaponda na hamjui hata vintage ni nini! 😂🌚 #tiktoktanzania🇹🇿 #fypviralシ #kenyantiktok🇰🇪

Enzoh 🐐🇹🇿
Enzoh 🐐🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 07 July 2025 14:45:35 GMT
178721
13412
142
95

Music

Download

Comments

dagyempire
D A G Y :
kule wamejazana jobless kibao 😂
2025-07-08 05:08:37
45
popathedon
bsk255 :
nakukubal sana hua nakuon insta
2025-07-19 16:19:27
0
sedo.0rg
🆂︎🅴︎_🅳︎🅾︎..💥❤️🔧⛎ :
kama unangalia hii video wakati wa usiku huu eb.. gonga like ap.. tujuane
2025-07-07 17:28:24
45
lia__luke
Tc_roza🤗❤️ :
Mi naitafuta hiyo video unayotetemeka😂
2025-07-09 18:33:07
7
iamkenedyoffical3
kenedy Myler :
Kusema ukwel kama upo dar na ujaenda vintage space y’all are just missing alot of cool shit fr🔥🔥🔥🙌….
2025-07-09 11:44:39
8
icah_376
Barbie icah🧸🎀❤️ :
😂😂😂nilikuona ulikua unaingia kaka boss vile😂🤣
2025-07-07 21:35:31
1
usercarlyviv
🦋vivian :
Wamesema tunavaa matambara ya zamn tunajifanya fashion😂😭
2025-07-07 15:51:57
28
user3138155799630
Richard T :
aaaah wasauzi ndo tunaingia
2025-07-19 15:55:19
0
ilanyumvagodwin
ilagodwin🇹🇿 :
kumbe nyie ndio watoto wa matajiri watoto wa kishua😂
2025-07-08 12:13:45
6
baybeevee0
🤎butterfly 🦋 :
ongea ww mkuu😭
2025-07-07 22:09:08
0
shayya_35
lan_voc :
si kama watu wanavovaaga shulen
2025-07-07 21:00:01
3
drukim
Drukim Budy :
Watu tuliokuwa tunasubr muende ili mtupe na sisi nguvu..👐🏾🤩🤩🤩🤝
2025-07-07 15:51:56
4
user4814597785299
Binah lyn🐦 :
Ww tenah😍
2025-07-07 14:55:45
1
puffy644
Puff Dady :
Unatako zuri we mkaka
2025-07-09 16:57:04
3
fundi_air_condition
chide_🥶 :
Iko ivo fame🤘🏽
2025-07-07 15:30:51
0
_his_.excellency
Junior 🌴🇹🇿 :
kabisaaa🔥😂
2025-07-07 15:10:28
0
minaje.juan
minaje juan🦋 :
Kitambi😅😅😅
2025-07-13 20:24:59
2
barnaba.215
barnaba 215 :
Ila Enzoh amepoa kama wale watu wa kwenye miziki ya zamani🔥🔥
2025-07-07 17:50:09
9
brightcherry7
♡♡Cherrie B✓⃝:👣☆☆☆ :
kumbe hadi wastaafu wanaruhusiwa kwenda🥺
2025-07-09 12:21:16
3
rafetj
Rafet jure💀 :
Mose iyobo outfits where did you got them 😂😂😂😂
2025-07-14 16:07:02
1
callixx_dml
Mr...Çallixx ❤️🔥 :
Washamba hawawez elewa 😂🔥
2025-07-08 12:27:41
3
imjustagurl005
Ms.Fatima💕 :
Mh kwenda huko vintage Mara hii hatutahemaa sijui ulijikuta Nani huko😆💔
2025-07-08 14:16:29
1
user83039381551093
user8303938155109 :
kasome UE next week 😂......ila nitafurah tukija sapua wote😁
2025-07-08 05:39:10
2
sweetheart00017
useryyyg0ohake :
haya turudn sas
2025-07-09 10:59:25
2
To see more videos from user @enzohdeadly, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About