haimaanishi ukijituma sana ndio itafanikiwa, pia haimaanishi kwamba wote waliojituma sana wametoboa.. Juhudi haizidi kudra ko kwenye mihangaiko yetu yote tuombe Mungu fortune (bahati)
2025-07-08 08:39:37
26
B.A.C.H.L.E.T.T :
hapa mwenye akili ni mmoja tu
2025-07-08 08:15:22
23
Alymer💕 :
Uhakika mafanikio hayaji na bahati🤭
2025-07-08 07:56:20
9
Number_eit💓 :
Sema huyo mwenzenu aliyeanza kuongea ana akili sana anaongeaga point sana "sio lazima kuyaharakia😊🤗
2025-07-08 08:05:57
6
city boy😎 :
Mafanikio hayaji kwa bahati💪
2025-07-08 07:54:15
6
I_ammajor🔥🫥💯 :
Furaha unaweza jipa mwenyewe😂
2025-07-08 08:06:56
5
hez_madona😈 :
Furahaa unajipa mwenyew nieleweke😂
2025-07-08 16:22:53
4
HAMILTON :
nimegundua hela huleta hela mwenzake bila hela ni ngumu kupata hela
2025-07-09 18:16:58
3
Puff Dady :
ningelijua mapema kama Enzo na J mnakulana😂
2025-07-09 16:56:33
1
To see more videos from user @enzohdeadly, please go to the Tikwm
homepage.