swali ni akikwama hapo uyo mwizi nifanye nini ndio aloke hapo??
2025-07-09 04:34:29
3
@Steve :
Na mwizi anayetumia dawa kuiba pia atanaswa?
2025-07-30 05:26:54
1
violety temu :
naweza fanya kwa kuku nitaifanyaje vicheche watu wananitesa sana wanajichagulia kubwakubwa kama zao😩😩😩
2025-07-13 06:55:07
2
Vihoja mahakamani :
Jongooo ni nini jamani??
2025-07-08 21:00:10
0
@Glory Mexhack# :
Mnapewa dawa mnasema mongoo aingii kwenye chupa mlitaka aingie kwenye mtungi,, huyu kaka anajua dawa namfatiliaga sana t vingi sana anajua na hata bibi yang nliona akifanya hivo hivo,, wachaw dawa yao ndogo sana ,,jichanganye kwangu upigwe upofu utokaa uone maisha yko yote,, mimi mtu akinichokoza hata simjibu nkimjibu nakumnyooshea kidole haki ck mbili nyingi ntakachokiongea ni hicho hicho kitakukuta ,,, nsikilizen huyu kaka jmn anajua dawa ,
2025-07-10 18:28:43
9
user4835834562861mwanaisha :
dawa yakuuza shamba
2025-07-24 04:53:29
1
user7320338378256 :
unae mudai hataki kukulipa
2025-07-30 14:14:18
0
alba :
jogoo ni kuku au mdudu
2025-07-09 06:42:28
3
Ernestina Bandró :
Sasa ukimkuta mwizi anazunguka shambani, utamtoaje ili umlipiahe hela?
2025-07-21 08:45:51
1
gentle b :
doctor mi nataka dawa ya kuuza kiwanja
2025-07-19 23:16:56
2
devid'itongwa' :
na sumbuwa na washawi kwenye familiya yangu
2025-07-30 14:19:52
0
user4415174030610 :
jogoo utamwekaje kwajupa?
2025-07-09 03:54:39
4
Nashi Chilale :
Dawa ya mtu unaye mudai iri akulipe
2025-07-24 19:55:31
2
babu kokoro :
Jogoo unamueka kwa chupa ama unaweka manyoya.
2025-07-08 19:11:23
0
grace :
jogoo unamuwekaje kwenye chupa au unamfukia na yy
2025-07-08 16:55:54
0
Fatuma Mwalimu :
ukisha tia hiyo chupa ndani ya shimo ufukie na mchanga ilo shjimo liwe wazi?
2025-07-08 19:09:43
1
danielraphael22 :
poaaa
2025-07-26 20:53:00
1
Vicky mghase :
kama mtu amefungwa namtu utajuaje ili kumfungua
2025-07-09 07:23:04
1
Shiro Kibira :
njogoo atoshei kwa chupa
2025-07-14 13:00:54
1
Rehema Ndezi :
dawa ya mwanamke Ambae Hana hisia hata kidogo na mme wake
2025-07-27 21:36:39
1
user3807595592965 :
kama uganga ungekua hivo kaka tulikua hakuna haja ya polis
2025-07-09 04:55:32
2
user81001610714618 :
je kumkamata mchawi kk
2025-07-27 21:11:23
1
mtamwamustapha :
.....doctor ukitaka kumtuo utafanyaje
2025-07-08 15:35:40
1
To see more videos from user @dr.njiku, please go to the Tikwm
homepage.