dereva muoga toa miguu kwenye break na clach inatembea yenyew
2025-07-09 07:45:58
18
Mahoo :
Daaaah Mafunzo ni muhimu Sana Kwa madereva! hapa alipaswa kutumia engine stop, hii gari ingeshuka tarariibu
2025-07-09 21:37:07
1
Sheria_young_money.3 :
dereva uchwaroo😂😂😂
2025-08-02 16:27:33
0
Frank Nanyaro :
hii barabar nikama nilichonga walai ila sikumbuki ata ni wap apo
2025-07-09 18:38:31
0
campussshop1 :
Hapo hamna dereva
2025-07-09 08:38:59
16
husseinfarmstz :
Gari unataka kwenda chaka jamaa nae kakomaa😆 Hataki kwenda chaka vita Bado mbichi😆😆😆
2025-07-09 07:23:05
2
meshaki 1HZ :
mbona bureki nyingi hivyo
2025-07-09 08:16:41
4
enohk2 :
Mwanetu hatoboi hapo😂😂
2025-07-08 19:59:13
3
ngux mesha :
m nasubil nione wanavyo rud
2025-08-02 15:17:07
0
Suba Brown :
Chuma inasota sio kutembea😂😂💪
2025-07-08 19:49:23
8
@deusyaksbd :
mtembezi au nan huyo🤣🤣
2025-07-08 18:39:28
2
TARIMO🇹🇿 :
ameishiwa bando,inabidi tumtembezee bakuli 🤣🤣🤣
2025-07-08 20:13:02
5
temiRedtAg :
naona madereva wa mjini wanajua kucomment shombo wanajua jinsi mziki ulivyo hapo? hiyo ndio njia sahihi na wakati huu dereva lazima utimamu uwepo hapo vinginevyo ngema zitakuhusu
2025-07-10 07:31:57
2
Alexione :
atie ile kitu L msoto usingekuepo
2025-07-09 06:01:48
6
Cleophas Mkini :
😂😂😂😂😂😂 natoka Zangu boma la ng'ombe na piki piki nimebeba njegere mvua ikapiga nyie nimefika sehem mteremko 😭 nikashika brek piki piki inaendaa Kasi nikaona Cha kufia Nini mie ikayumba mara 2 ya Tatu Niko kwenye tope